Tetesi: Tender ya ujenzi wa uwanja wa ndege Chato yafutwa kimyakimya

kijana wa leo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2011
Posts
2,921
Reaction score
7,173
Kufuatia watu wengi kulalamikia suala la ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kuna tetesi kuwa tender iliyokuwa imetangazwa imefutwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Sababu za kufuta tender hiyo bado sijazijua. Scope ya huo mradi kuzingatia na muda wa miezi 6 hadi kukamilika kwake uliotolewa ungeweza kugharimu Bilioni 40 - 60 kulingana na experience yangu.

NOTE: Kuna uwezekano mkubwa "mtukufu" anapitia hii mitandao ya kijamii, ni vema tuendelee kuikosoa serikali bila kutumia lugha za kuudhi huwenda shida mbalimbali zikatatuliwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii.
 
Ujenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
 
Akijenga mwanza tutaelewa sio kijijini chato.tuangalie mchango wa eneo husika katika kuinua pato la taifa na sio kufurahishana.
 
Sijakuelewa mkuu, rudia kusoma nilichopost afu uliza tena nikuelewe.
Umedai kwamba jf inaweza ikasaidia kutatua kero mbalimbali endapo tutazipigia kelele humu. Mfano hiyo ya kujengwa uwanja wa ndege chato.., kwamba mmepiga kelele na wakahairisha, hivyo kero yenu imesikilizwa
 
Natamani nikujibu vizuri mkuu, ila uhandishi wako unanitatiza, hapo kwenye red, je wewe unaona uwanja wa chato una manufaa? uwanja unajengwa Km 55 kutoka Chato mjini, hiyo ni sawa?
 
Agizo la rais huwa linafutwa na yeye mwenyewe. Kwa sasa mradi usipotekelezwa, haitachukuliwa kama ameufuta kimya kimya, bali ameshindwa kuutekeleza
 
Nanyie mmezidi ss! Tenda gani inatangazwa kwenye mbao za matangazo badala ya gazetini
Tumieni hata akili kidogo kupima ukweli wa mambo
 
Mkuu tender ilikua ya mwendokasi hii, unapewa copy za tender document bure na mamlaka husika, unatakiwa ujaze within two weeks na ukishinda tender unatakiwa ufanye mradi kwa miezi 6 mradi mkubwa uwe umekamilika. Huu ulikua mradi wa mwendokasi kuliko miradi yote, unapewa fill ya 6.0m high, upana 50, urefu almost 1.5km ujaze kwa miezi 4 tu!!!!!!!!
 
kwa waliowahi kufika ama kupita katika mji wa chato ni lazma watashangaa kusikia kuwa kutajengwa uwanja wa kimataifa...

chato haina lolote maana hata sio makao makuu ya mkoa , haina biashara na wala kilimo si potentual kama mikoa mingineyo.....

kanda ya kati ambapo panatarajiwa kuwa makao makuu ya nchi ; airport yake kuu ya dodoma inapanuliwa tu huku msalato international airport ikipigwa chini , airport ya mwanza inapigwa danadana , Arusha airport kama kiosk huku ikiitegemea kia ila chato inapewa kipaumbele kwa lipi haswa ?????....

Huyu Shujaa anayewaminiwa ni mwanachato mzuri kuliko Mtanzania
 
Hoja mliianzsha wenyewe, mkaijadili wenyewe. Imekosa mashiko, mmeifuta wenyewe. Good. Bado zingine. Na huko, ndio kuisoma namba!
 
Ujenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Nampongeza sana sana rais wangu kwanza kwa hilo la kuagiza ndege mpya mbili kama likifanikiwa nitampongeza zaid ya hapa
 
Kufuatia watu wengi kulalamikia suala la ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kuna tetesi kuwa tender iliyokuwa imetangazwa imefutwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Sababu za kufuta tender hiyo bado sijazijua. Scope ya huo mradi kuzingatia na muda wa miezi 6 hadi kukamilika kwake uliotolewa ungeweza kugharimu Bilioni 40 - 60 kulingana na experience yangu.

NOTE: Kuna uwezekano mkubwa "mtukufu" anapitia hii mitandao ya kijamii, ni vema tuendelee kuikosoa serikali bila kutumia lugha za kuudhi huwenda shida mbalimbali zikatatuliwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Wanadamu tunatakiwa tufanye Vitu sahihi kwa sababu Ni sahihi.
 
Sioni tatizo hapo, kila kitu Darisalam!...Magufuli go...go ahead man..

Back
Top Bottom