jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
LugjE="kijana wa leo, post: 17198255, member: 61737"]Kufuatia watu wengi kulalamikia suala la ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kuna tetesi kuwa tender iliyokuwa imetangazwa imefutwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Sababu za kufuta tender hiyo bado sijazijua. Scope ya huo mradi kuzingatia na muda wa miezi 6 hadi kukamilika kwake uliotolewa ungeweza kugharimu Bilioni 40 - 60 kulingana na experience yangu.
NOTE: Kuna uwezekano mkubwa "mtukufu" anapitia hii mitandao ya kijamii, ni vema tuendelee kuikosoa serikali bila kutumia lugha za kuudhi huwenda shida mbalimbali zikatatuliwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii.[/QUOTE]
Lugha za kuudhi ni sawa na mjeledi shuleni.