kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 2,921
- 7,173
Sijakuelewa mkuu, rudia kusoma nilichopost afu uliza tena nikuelewe.Ujenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Akijenga mwanza tutaelewa sio kijijini chato.tuangalie mchango wa eneo husika katika kuinua pato la taifa na sio kufurahishana.Ujenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Km 140 toka uwanja wa kimataifa wa Mwanza.Hiyo hela itumike kwenye kuboreshe uwanja wa Mwanza Airport! Huko chato nani atapeleka huko ndege kwanza kufanya nin
Umedai kwamba jf inaweza ikasaidia kutatua kero mbalimbali endapo tutazipigia kelele humu. Mfano hiyo ya kujengwa uwanja wa ndege chato.., kwamba mmepiga kelele na wakahairisha, hivyo kero yenu imesikilizwaSijakuelewa mkuu, rudia kusoma nilichopost afu uliza tena nikuelewe.
mbona unatoka povu la omo.Ujenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Kuna mikoa mingi haina viwanja vya ndege tena Ile muhimu, Kuna changamoto nyingi hazijatatuliwa unawaza kujenga uwanja, mlisema wachaga wana ukabila, sasa subirini mfundishwe nini maana ya ukabilaUjenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Natamani nikujibu vizuri mkuu, ila uhandishi wako unanitatiza, hapo kwenye red, je wewe unaona uwanja wa chato una manufaa? uwanja unajengwa Km 55 kutoka Chato mjini, hiyo ni sawa?Umedai kwamba jf inaweza ikasaidia kutatua kero mbalimbali endapo tutazipigia kelele humu. Mfano hiyo ya kujengwa uwanja wa ndege chato.., kwamba mmepiga kelele na wakahairisha, hivyo kero yenu imesikilizwa
Mkuu tender ilikua ya mwendokasi hii, unapewa copy za tender document bure na mamlaka husika, unatakiwa ujaze within two weeks na ukishinda tender unatakiwa ufanye mradi kwa miezi 6 mradi mkubwa uwe umekamilika. Huu ulikua mradi wa mwendokasi kuliko miradi yote, unapewa fill ya 6.0m high, upana 50, urefu almost 1.5km ujaze kwa miezi 4 tu!!!!!!!!Nanyie mmezidi ss! Tenda gani inatangazwa kwenye mbao za matangazo badala ya gazetini
Tumieni hata akili kidogo kupima ukweli wa mambo
Nampongeza sana sana rais wangu kwanza kwa hilo la kuagiza ndege mpya mbili kama likifanikiwa nitampongeza zaid ya hapaUjenzi wa uwanja wa ndege ni shida inayohitaji kutatuliwa?! Au ulitaka akajenge kijijini kwenu?
Kufuatia watu wengi kulalamikia suala la ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, kuna tetesi kuwa tender iliyokuwa imetangazwa imefutwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Sababu za kufuta tender hiyo bado sijazijua. Scope ya huo mradi kuzingatia na muda wa miezi 6 hadi kukamilika kwake uliotolewa ungeweza kugharimu Bilioni 40 - 60 kulingana na experience yangu.
NOTE: Kuna uwezekano mkubwa "mtukufu" anapitia hii mitandao ya kijamii, ni vema tuendelee kuikosoa serikali bila kutumia lugha za kuudhi huwenda shida mbalimbali zikatatuliwa kupitia kwenye mitandao ya kijamii.