zaza1
Member
- Jun 28, 2018
- 60
- 50
Karibuni wanajamii,
Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na:
• Usafi (Cleaning Services)
• Maintenance za Majengo na Miundombinu
• Fumigation & Pest Control Services
Thread hii ni kwa ajili ya taasisi, kampuni, shule, hospitali, apartments, hotels, viwanda, ofisi na mtu yeyote mwenye uhitaji wa huduma hizi au anayetoa taarifa za fursa zilizopo.
Unaweza kupost hapa kama:
Una tender au zabuni inayohitaji wazabuni.
Unatafuta kampuni ya usafi.
Unatafuta kampuni ya fumigation.
Unatafuta huduma za maintenance.
Umeona tangazo la tender mahali popote na unataka kulishirikisha.
Unapopost, tafadhali eleza:
1. Eneo la mradi.
2. Aina ya huduma inayohitajika.
3. Tarehe ya mwisho ya maombi.
4. Mawasiliano au namna ya kupata nyaraka za zabuni.
Lengo ni kuifanya thread hii kuwa sehemu moja ya kukutana kwa wanaotoa na wanaotafuta fursa za kazi katika sekta za usafi, maintenance na fumigation nchini Tanzania.
Karibuni wote kushiriki kwa kuweka fursa, kuuliza maswali na kujenga ushirikiano wa kibiashara.
POST TENDER YAKO HAPA. POST FURSA YAKO HAPA. TAFUTA AU PATA KAZI HAPA.