Tendo la ndoa kwa mzazi

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,075
Reaction score
9,263
habari zenyu wataalam!
naomba kujua muda muafaka wa tendo la ndoa kwa mzazi aliyejifungua!
i mean, ni miezi mingapi ikipita tangu ajifungue anaruhusiwa...........?
 
inategemea kamanda...kama amejifungua kwa njia ya kawaida futasubira mpaka baada ya miezi mitatu hivi ndo mwanze kurusha roho..Ila wanawake wengine wanaponyonyesha hawapati siku zao ila wanaweza kushika mimba hivyo angalia usije ukawapanga watoto...Akijifungua kwa operation jua ni mpaka miezi sita hivi...hivyo ndo nimekuwa nikifahamu...MD watatusaidia zaidi
 
thanks kamanda! loh! amejifungua salama bila kisu, miezi miwili na nusu sasa imepita,
loh! kweli bora umenifungua aisee manake unaweza kumbebesha zigo lingine.
 
habari zenyu wataalam!
naomba kujua muda muafaka wa tendo la ndoa kwa mzazi aliyejifungua!
i mean, ni miezi mingapi ikipita tangu ajifungue anaruhusiwa...........?

It is after 42 days under normal circumstance regardless mode of delivery, provided u take usual precaution as unintentional pregnancy.
 
This can be practiced even 30 days after delivery but the thing is try to avoid unexpected pregnancy. kama umetulia for 2 and a half months thats enough. yuo can resume your ground. but nijuavyo mimi huwa wakati wa kunyonyesha ndio mama anakuwa na ashki kweli sasa kama hakusumbui ujue pana tatizo hapo.
 
sio kweli ukijifungua kwa operation,usubiri mpaka miezi 6.nishawauliza waliozaa kwa operation,waliniambia sio kweli
 
sio kweli ukijifungua kwa operation,usubiri mpaka miezi 6.nishawauliza waliozaa kwa operation,waliniambia sio kweli
Unapompinga mtu ni matalajio ya wengi wewe ndio utakayetoa jibu sahihi badala yake unatuacha hewani!!......hapa umekosa busara kabisa.
 
Kuna thread kibao nishaelezea haya, ila ni 42 days regardless of mode of delivery basi. Tafuta hii thread humu nilielezea na hata kunyonyesha
 
Hii kitu ilinitesa lakini ilinipa fundisho kubwa Sana wait Kama 8 weeks muone Kama ata develope interest, if not then don't force or rush her, sometimes kama alijifungua kwa shida AMA operation anaweza akawa na negative issues na sex kabisa, pengine utaitaji mtu Watatu, mtaalam Wa kuongea Naye! Mie wakati mke wangu akiwa hivi tulikuwa Norway kwa hiyo tulipata mtaalam akaonea Naye ilisaidia Sana, right now HAPPY SEX! Please don't force and god with her SLOWLY.


UOTE=zumbemkuu;3689949]habari zenyu wataalam!
naomba kujua muda muafaka wa tendo la ndoa kwa mzazi aliyejifungua!
i mean, ni mingapi ikipita tangu ajifungue anaruhusiwa...........?[/QUOTE]
 
Lakini miezi mitatu ndiyo nzuri tukumbuke tenda la kujifungu kwa kawaida au kwa upasuaji huwa linaambatana na kutokwa damu nyingi. Busara inatakiwa,kumuonea mwenza wako huruma,kujiona kama ndiyo wewe uliyejifungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…