Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari zenyu wataalam!
naomba kujua muda muafaka wa tendo la ndoa kwa mzazi aliyejifungua!
i mean, ni miezi mingapi ikipita tangu ajifungue anaruhusiwa...........?
sio kweli ukijifungua kwa operation,usubiri mpaka miezi 6.nishawauliza waliozaa kwa operation,waliniambia sio kweliinategemea kamanda...kama amejifungua kwa njia ya kawaida futasubira mpaka baada ya miezi mitatu hivi ndo mwanze kurusha roho..Ila wanawake wengine wanaponyonyesha hawapati siku zao ila wanaweza kushika mimba hivyo angalia usije ukawapanga watoto...Akijifungua kwa operation jua ni mpaka miezi sita hivi...hivyo ndo nimekuwa nikifahamu...MD watatusaidia zaidi
Unapompinga mtu ni matalajio ya wengi wewe ndio utakayetoa jibu sahihi badala yake unatuacha hewani!!......hapa umekosa busara kabisa.sio kweli ukijifungua kwa operation,usubiri mpaka miezi 6.nishawauliza waliozaa kwa operation,waliniambia sio kweli
hayo ni mawazo yako,ila ahsanteUnapompinga mtu ni matalajio ya wengi wewe ndio utakayetoa jibu sahihi badala yake unatuacha hewani!!......hapa umekosa busara kabisa.