Ravalomanana
JF-Expert Member
- Sep 8, 2018
- 1,678
- 1,688
Kwaiyo tukae na nyege mpaka siku tukihitaji watoto?Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Limejibiwa hiliKwaiyo tukae na nyege mpaka siku tukihitaji watoto?
Hii mada inataka kurudisha tamaduni kwenye utandawazi sawa na kulinganisha kiazi na andazinawewe unasemaje eti kuhusu io mada
Maisha ni kuchaguaNikitaka ongeza watoto nitachagua .
ni ngumu mnooooHii mada inataka kurudisha tamaduni kwenye utandawazi sawa na kulinganisha kiazi na andazi
Sana ila hatuna budi kuelewa wapi shida imetokeani ngumu mnoooo
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Adam alikuwapo kweli.Imenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
ni humuu tuuSana ila hatuna budi kuelewa wapi shida imetokea
According to Mzee Wassira YesImenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Samahani mkuu umeshapiga msosi wowote hadi sasa?Kwanza kabisa, thibitisha huyo Adam alikuwapo kweli.
Mtajua wenyewe😂😂😂Kwaiyo tukae na nyege mpaka siku tukihitaji watoto
Haina maana kabisa naunga mkono hojaNaunga mkono hoja, ngono ifutwe.
Dah🥺🥺🥺😭Naunga mkono hoja, ngono ifutwe.
Hilo linahusiana vipi na hoja za hapa?Samahani mkuu umeshapiga msosi wowote hadi sasa?
Ule mchezo mtamu bhnaHata sisi matajiri mkuu,,baada ya kazi za kutwa tunapoozwa miili😌
Mm naona tendo la ndoa ni starehe .lakini hizo changamoto ulizo toa zinatokana na utandawazi .hasa hizo video za ngono pia kuna tatizo la mfumo wa maisha kama vile chakula,mazoezi ndio linaleta changamoto hizo za idadi ndogo ya watoto, nguvu za kiumeImenilazimu kutoa elimu kwa wanadamu wenzangu ili warudi kwenye mstari sababu naona shimoni tunaelekea.
Nimejaribu kufuatilia MAISHA ya wazee wetu na hata baadhi ya maandiko.
1: ukifuatilia maisha ya adamu katika maandiko ni kuwa kila "alimpojua" mke wake, mtoto alizaliwa.
2: wazee wa kale hawakulala chumba kimoja au kitanda kimoja. Walikuwa wakikutana kwa ajili ya kutafuta mtoto tu na sio vinginevyo.
Sababu ya mabadiliko;
1: idadi ndogo watoto katika familia.
- Picha za ngono zimebadili akili za wanadamu kuona tendo hilo ni kwa ajili ya starehe.
- Uzazi wa mpango kwa njia za kigeni.
- Sinema na movies za kigeni.
- Utandawazi kwa ujumla wake hasa katika mwingiliano wa mila na desturi.
- Madhara yake;
2: upungufu wa nguvu za kiume na kike.
3: magonjwa ya ngono kwa ujumla wake.
4: ndoa kivunjika mapema sababu ya uzoefu wa ngono kwa wanandoa.
Mengine ongeza wewe JF member including
Madenge Kilewa pangalashaba
Iwekwe kwenye katiba mpya kabisa🤣Dah🥺🥺🥺😭
Sawa unajitibuje?Kujiendekeza tu mkuu