Tendo la ndoa sio la kimwili pekee ni la kiroho pia

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
997
tendo la ndoa(sex) si jambo la kimwili tu , ni la kiroho pia(spirtual) , unapofanya tendo la ndoa mnabadilishana nishati au energy , nishati hizo zinaweza kuwa hasi au chanya.

Unapofanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi au chaguo la Mungu mnabadilishana generational curse au pattern(tabia fulani za vizazi) mfano umaskini, ujinga, pia magonjwa.

Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi

-hisia kutotulia(emotional unstable), unapo shiriki tendo na mtu ambaye sio sahihi unaweza kupokea tatizo la hisia zako kutokuwa stable , na hii inapelekea kutofanya maamuzi ambayo sio sahihi katika maisha yako.Maamuzi yanaitaji akili iliyotulia hivyo hisia kutotulia kunapelekea akili kutotulia na kupelekea kufanya maamuzi ya hisia na sio akili.

-kushare generational curse(Tabia fulani za vizazi)mfano umaskini, ujinga, uvivu n.k

-kukuchelewesha kwenye wito wako(destiny) au ndoto zako, ukishiriki tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi inakupoteza focus yako kwenye ndoto au ukuu wako sababu ili utimizi ndoto zako inaitaji kupata mtu sahihi ambaye atatokana na Mungu hivyo ni rahisi kuunga kile unachokifanya.

-kupoteza nguvu au kibali, Mfano samson kwenye bibilia tunaona delila alivyo mshawishi na kupelekea kuangukia kwa maadui zake wafilisti na mshoe kuanguka.

-roho yako kuchoka, unaposhiriki tendo la ndoa na watu wengi wasio sahihi roho yako inachoka hivyo inakuwa mbali mbele za Mungu hivyo ni rahisi kushambuliwa na dark energy(wachawi) pia unapoteza mvuto wa asili.

-kushindanisha mtu wako uliofunga naye ndoa na mahusiano yako ya zamani, hii inapelekea ndoa kutokuwa imara pale unapokikosa kile ulichokipata kwa waliopita mfano pesa, tabia n.k
-ndoa kuwa na migogoro mingi kama ikatokea labda mmoja wa wana ndoa kuwa na watoto nje ya ndoa na kutoweka wazi.

-kukosa nidhamu ya maisha, Mtu ambaye anakuwa wa kushiriki tendo la ndoa na watu sio sahihi anapoteza au kuchelewesha ndoto zake kutimia au wito wake katika Maisha.
 
Nyie waongo sana ndo mnaosemaga ukinunua dada poa unapata mikosi mara hupati hela,uongo mtupu
 
Tutaambiwa meng mwaka huu. Sa hapo unatuogopesha tusikulane ndugu yangu. Mfalme solo alokuwa na weng hadi akatambulika kwene biblia nae ilikuaje? Mda mwingne tuambizane ukweli kama wewe n mlokole pambana na roho yako ila kwa kunyanduana usiuzie watu uoga
 
Kazi ipo labda ungesema una kinyaa sawa ningekuunga mkono hiv mtu unawezaje kulala na watu tofauti kwa wakati mmoja leo huyu kesho huyu🤮
 
Hahaa umenikumbusha mwalimu wangu wa biolojia ambaye alikuwa katekista, alitufundisha kwamba kabla hamjaanza inabidi msali kwa pamoja na mkimaliza mshukuru kwa kumaliza salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…