Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna tatizo lolote lile kiafya ila usifanye ile kitu nyingine, ile ina madhara.
madhara yapo bwana...unakuwa na stress flani na pia unapungukiwa happiness kwenye maisha yako
Yah, madhara yapo kama kuwa zoba na stress nyingi ile kinoma. Mi siwezi kaa mwezi mmoja bila kufanya tendo la ndoa. Ingia kwenye google andika Advantages of sex uone mambo.
Asipige puchu!
Kitu ip hiyo?
Wana JF naomba kuuliza,hivi kuna madhara yoyote mwanaume anaweza kuyapata akikaa mda mrefu bila kufanya tendo la ndoa(kama miaka miwili hivi)?
Kwani mapadri hukosa hiyo happiness au kupata stress! Maana hawajawahi kunanilii toka wazaliwe.
Yah, madhara yapo kama kuwa zoba na stress nyingi ile kinoma. Mi siwezi kaa mwezi mmoja bila kufanya tendo la ndoa. Ingia kwenye google andika Advantages of sex uone mambo.