Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Yaani Mkuu umenigusa kunako
 
Wengine humu wanapotezea maksudi tu...lkn ukweli upo ivo!!
Kuna ke/me ni kismat si kawaida
Ukigundua hilo weye unae fanikiwa ..gharamia maisha kwa asilimia80...ukilia lia tu.mwenye kismati atakutoroka.uone hapo utakavo chapika.utakosa hata mlo
Jokate.wema..nk hawa wana vismati sana
...nilikuwa napata madeal tena nje ya nchi si kawaida ila wao hawajui mpaka nikaona heee!!.....anae pinga ajiulize kwa nini C/doa wana kimbizana na wabunge/wafanya biashara??? Tena kwa dau kubwa si kawaida.na wale maisha yao si haba...gheto la CD ni utakaaa chini...
We fikiria tu mtu anamnunulia mwanamke gari zuri....anamjengea jumba hilo. Why?? Acheni bana....zile mashine zina vismati na mikosi...
 
Kama ni wewe ndo unaamini una akili bado hata mimi naamini kichwa chako kimejaa makamasi na nina hakika hata hujajikomboa kiuchumi na mawazo mgando ulinayo, haipo tofauti ya maneno yako niliyo kukosoa maana ni wewe umeyaweka, ninyi ni wale mnao ishi Kwa kudhani mambo ya kiroho hayapo isipokua elimu ndiyo kila kitu, maana ndicho unacho maanisha, ukidhani watu walikosa elimu na mababu walikua wavivu, mi nasema huwezi kuambiwa ukaelewa na wewe ni sehemu ya mpumbavu mwenye hasara hapa nchini

Unaamini wapo wanaotoboa ki MUNGU maana yake unapaswa kuamini mambo ya kiroho yapo,nje na hivyo huna sababu ya kumtaja MUNGU na hujawahi kumuona
 
Hii nu kweli kabisa.Nilikuwa na demu wangu yule neeram siku tu nikilala nae mpaka asubuhi basi ujue kesho yake napata hela au kuna deal la hela ntapewa
 
Mbona marehemu Mzee mengi alikua mzinzi, wanawake kama wote, lakini alikua tajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…