Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Tendo la Ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu

Hii dhana ni kweli, kuna wanawake ukiwachakata unapata hela kwenye madili mpaka unashangaa hata kama hawana sura na maumbo ya kuvutia na wengine utajuta hata kama ni warembo wenye sura nzuri na za kuvutia, wapo wenye bahati wakikuomba hela hukosi na wengine unakosa mpaka anakuacha, mambo haya yapo japo hayapewi uzito wake

Ohh Yes
 
Kwa hivyo wewe unaamini kusoma shule ni kutoboa maisha???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole Sana ndugu
Acha kukurupuka Soma vizuri comment yangu na elewa mstari kwa mstari.

Nimezungumzia Mambo mawili ,Elimu na Biashara sema kwavile kichwa chako kimejaa mafua basi wewe umeelewa hivyo.
Ukweli Ni mchungu Koo nyingi Ni maskin Sana sabab Ni background za mababu zao .
Fuatilia Koo zenye unafuu wa maisha kwasasa Ni either mababu walisomesha watoto wao au hao mababu waliwekeza Sana kwenye ardhi na Mambo ya Biashara plus ufugaji.
Mababu wengi hasa ambao hawakua na maono ya baadae walikua wanauza Sana ardhi pengine kubadirishana hata na vinywaji km pombe au chakula.

Matatizo yote huanzia hapo .

Pengine km hujatembea sehem mbali mbali ,ukisikia ukoo wa fulan Ni maarufu na wanajulikana Sana jua mababu waliwekeza Sana kwenye hayo maeneo so hata kupeana michongo wajukuu inakua rahis Sana na kutoboa pakufikia tu.

Ingawa wapo wanaotoboa from zero to hello yaan Hana connection na mtu lakin anapambana kimungu mungu anatoboa lakin Ni wachache ukilingamishana na wale ambao wanapeana Raman za maisha .
 
Mkuu ebu punguza lawama kwa vizazi vilivyotutangua, kuna utajiri wa aina nyingi ikiwemo huo wa kurithi uliouzumgumzia sana. Lakini kumbuka si wote wanaorithishwa mali nyingi huwa wanaweza kuendeleza mali hizo au tu hata kuzilinda ziendelee kuwepo. Tatizo la sisi vijana wengi huwa tukiona mtu kafanikiwa huwa tunafikiri ni rahisi, utajiri wa mtu una siri tofauti ambazo si kla mtu atakuambia. Muhimu ni kupambana na kuwa na subira, Kuzaliwa masikini sio kosa, bali kufa masikini hilo ni kosa lako na sio watu wanaokuzunguka.
Soma vizur content na elewa ,sijalaum Ila huo ndio ukweli na sijasema ili utusue lazima uridhishwe Mali .
Neno connection Ni pana Sana ,Kuna watu wanapata michongo kisa tu jina la ukoo fulani.
Ukoo wenu wakisambaa sehem mbali mbali na wakiwa na unafuu wa maisha sio had wakupe pesa hata tu kukupa abc za maisha inatosha .
Kwa lugha nyepes Koo nyingi hazina exposure sabab hakuna ambaye amewah kuonyesha njia ya kupambana .

So umenielewa vibaya Rudi Tena Soma na uelewe
 
unakuta ukoo una watu 1000 lakini hakuna mwenye uwezo wa kumboost mwenzie hata mtaji wa 5mil
Sure ,lkin sio lazima mtu akuboost mtaji lakin swali je kwenye ukoo wenu yupo hata mmoja ambaye anaweza kuwa kioo Cha wengine?
Pesa hufuata mkondo ,hata dili tu mtu hupata kwa maelekezo au go ahead ya mtu fulan ,kitown town huwez pata mchongo kizembe lazima wawepo wa kusimamia show na kukupa Raman kuwa pita hapa na pale ,je hao watu wapo ndani ya ukoo wenu?
 
Tendo la ngono linabeba bahati,mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.

“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari unafanya na nani, kwa ajili ya nini, matokeo yake ni yepi”

“Tena sana na ndio maana unakuta wale wenye wanawake/wanaume 9 mpaka 11 na kuendelea ukiwachunguza vizuri akili zao hua lesi muda wote.”
Wacha ulofa wewe.
Mfalme Suleimani alikuwa na wake zaidi ya 1000 na makahaba kibao lakini alikuwa tajiri kuliko watanzania wote
 
Makubwa haya! LIKUD Hayo masikhara
Kweli kabisa mkuu Tena this week nimeingiza ingizo jipya watoto wakali wanne ambao nime WA schedule Hadi mwezi wa Tano mwaka Huu.
# tushapima tayari.
 
Soma vizur content na elewa ,sijalaum Ila huo ndio ukweli na sijasema ili utusue lazima uridhishwe Mali .
Neno connection Ni pana Sana ,Kuna watu wanapata michongo kisa tu jina la ukoo fulani.
Ukoo wenu wakisambaa sehem mbali mbali na wakiwa na unafuu wa maisha sio had wakupe pesa hata tu kukupa abc za maisha inatosha .
Kwa lugha nyepes Koo nyingi hazina exposure sabab hakuna ambaye amewah kuonyesha njia ya kupambana .

So umenielewa vibaya Rudi Tena Soma na uelewe

Duh
 
Sure ,lkin sio lazima mtu akuboost mtaji lakin swali je kwenye ukoo wenu yupo hata mmoja ambaye anaweza kuwa kioo Cha wengine?
Pesa hufuata mkondo ,hata dili tu mtu hupata kwa maelekezo au go ahead ya mtu fulan ,kitown town huwez pata mchongo kizembe lazima wawepo wa kusimamia show na kukupa Raman kuwa pita hapa na pale ,je hao watu wapo ndani ya ukoo wenu?

Aha [emoji36]
 
Back
Top Bottom