Jamaa anatafuta namna ya kuzima utambi kitu ambacho ni kigumu sana - katiba yetu inakinzana upande mmoja JK si rais kwa sasa na ule wa pili JK ni rais mpaka hapo mteule atakapo apishwa! Kazi kwake bwana Tendwa! Kama aliweza kutabiri ushindi wa viti vya ubunge vya upinzani bila kufuata sheria yeyote ile, sasa hili kombora linahitaji sheria na katiba!