Jamaa anatafuta namna ya kuzima utambi kitu ambacho ni kigumu sana - katiba yetu inakinzana upande mmoja JK si rais kwa sasa na ule wa pili JK ni rais mpaka hapo mteule atakapo apishwa! Kazi kwake bwana Tendwa! Kama aliweza kutabiri ushindi wa viti vya ubunge vya upinzani bila kufuata sheria yeyote ile, sasa hili kombora linahitaji sheria na katiba!
Tendwanae ana katabia fulani ka kujiamini na maconfidence alipoletewa suala la CCM akawa mdogo kama piliton.
Alitoa siku tano kulifanya ufafanuzi ivi hazijaisha izo siku kweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.