mwanatanu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 851
- 127
my take: Tanzania ni ya ajabu kweli sheria zinapindishwa kum-fit mtu na si mtu ku-fit sheria kwa hali hii hatufiki tunakotarajia.
umenena swafi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
my take: Tanzania ni ya ajabu kweli sheria zinapindishwa kum-fit mtu na si mtu ku-fit sheria kwa hali hii hatufiki tunakotarajia.
Hivi huyu Tendwa bado anaangalia majira kwa kufuata Jua badala ya saa! Kwani ratiba katengeneza nani mpaka aulizwe Tendwa badala ya NEC? Jamani waandishi wa habari muwaulize wahusika katika jambo linalowahusu! Lakini JK akizidisha muda ajue ndivyo anavyodhoofisha afya yake 'kwa kasi zaidi, ari zaidi, nguvu zaidi'!