Tenganamba: Niliamua Kufa ili niishi!!

Tenganamba: Niliamua Kufa ili niishi!!

Yaani unapata mtaji wa kubabaisha unawekeza kwenye chuo then nije kukufanya mentor wangu. Mbona hata nilivoanza kusoma niliona itaishia kwenye failure. Vyuo na shule naona heri viendeshwe na taasisi kama kina RC, SDA, kina Fethulla Gulen wa Uturuki, etc. Hizi zinaendeshwa zaidi na taasisi zenye mlengo wa kueneza ideology fulani na zina waumini hivo hawaanzii zero kama mtu baki. Dunia nzima naona group of companies kama Hyatt Regency na nyingine kibao za mahoteli. Si rahisi kuona group za vyuo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Group of vyuo [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom