Tengeneza body scrub nyumbani kwako

Tengeneza body scrub nyumbani kwako

Hali zenu wote wana JF.
Zifuatazo ni body scrub zitakazokutakatisha mwili,matumizi yake ni kila wiki mara moja.

[emoji254]UNGA WA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI.
vichanganye vyote ivo upate ujazo ambao uwe paste nzito,then uscrub mwili wote.

[emoji254]SUKARI,ASALI NA NDIMU AU LIMAU.
sukari vijiko vinne,asali vijiko vtatu na ndimu moja.changanya upate paste yake then scrub mwili wako.

[emoji254]UNGA WA MCHELE,MAJI NA ASALI.
Unga wa mchele vijiko 4,Asali vijiko viwil na maji itaongeza kias mpk upate nzito.

[emoji254]CHUMVI MAFUTA YA NAZI NA LIMAU
Vijiko vitano chumvi,vijiko vinne mafuta na limau au ndim moja.

Tumia kati ya hizo scrub mara moja kwa wiki .
Shukran.
Unga wa kahawa naupata wapi?
 
Sukari Asali and Lemon ndo natumia for body scrub
 
Back
Top Bottom