Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

NyegereBOY

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2021
Posts
225
Reaction score
328
Habari wanajanvi

Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema.

Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo.

Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au biashara hii ambayo kitaalamu inafahamika kama Hotspot service provider

HOTSPOT SERVICE PROVIDER - ni
kampuni au mtu anayetoa huduma ya mtandao wa WiFi katika maeneo ya umma au kwa wateja wake. Watoa huduma hawa mara nyingi huweka vifaa vya WiFi katika maeneo kama vile migahawa, hoteli, viwanja vya ndege,Sokoni, stand za mabasi Migahawani, vyuoni na maeneo yenye mkusanyiko wa watu

Hii ni fursa mpya na adhimu sana hasa hapa kwetu Tanzania kwakuwa maeneo hayo au yenye mkusanyiko au kukutanisha watu ni nadra sana kupata huduma ya internet au WiFi na hata maeneo machache yaliyo na huduma hii yamekuwa hayakidhi mahitaji kwakuwa wengi Kwa kukosa uwelewa au Kwa makusudi hueka mifumo ambayo Haina UWEZO wa kukidhi au kuhudumia idadi kubwa ya watu mara nyingi Huwa ni watu 5 mpaka 10 pekee.

Kila mmoja anatambua umuhimu wa huduma ya internet changamoto ni gharama za kupata huduma hii. Kupitia fursa au biashara hii ya kusambaza internet Kwa njia ya wifi katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu italeta nafuu Kwa watumiaji wa internet katika maeneo hayo

MCHANGANUO WA FURSA HII / BIASHARA HII

Ili uweze kutoa huduma hii yakupasa kuwa na vifaa wezeshi ili kusaidia kufanikisha jambo hili Kwa bahati nzuri vifaa hivi vyote vinapatikana hapa ambapo bei ya vifaa pamoja na ufundi na elimu kwako mtoa huduma Ina gharimu kiasi Cha 1,500,000/= hapo unakuwa na system full ambayo itakuwezesha kutengeneza Faida endelevu na utajipatia GB 3,000 Kwa mwezi kwaajili ya kuwauzia wateja wako

Turudi shule kidogo ili tuweze kuona uwekezaji huu unawezaje kukupa Faida ewe ndugu mtumishi,mjasiriamali na hata jobless

Baada ya kuwa na mtaji wa 1,500,000 na kununua vifaa basi utajipatia na GB 3000 za internet kutoka Kwa Internet service provider ( ISP ) mfano Tigo au vodacom kwaajili ya kuanzia biashara ya kuuza GB za internet katika maeneo hayo, ambapo hizi GB 3000 = (200Mpbs ) utakuwa ukizipata Kwa kulipia 400,000 kila mwezi Kwa Tigo Kwa voda pia ni bei hii hii pia

Sasa tukija kwenye hisabati

NOTE ;
Tunasema Gb 3000 ni makadirio ila kwa Hawa ISP huita huduma hii fixed wireless access ( FWA ) Mtaani mnaiita UNLIMITED INTERNET japo kiuhalisia Sio Unlimited internet Huwa wanafanya data Caping ambayo inaweza kukupa limiting ya GB kadhaa mfano Tigo ni GB 3000 kwa mwezi na voda wanacheza hapo

Kama GB 3000 unazipata Kwa 400,000 Kwa mwezi inamaana wewe ndio utaangalia namna ya kuuza ili uweze kupata Faida kukurahisishia tu ni kuwa maeneo tuliofunga wengi huuza GB 2 Kwa 1,000
Hivo kuwafanya watengeneze 1,500,000 Kwa mwezi sasa ukitoa gharama za GB ambazo ni 400,000 Kwa mwezi hubaki 1,100,000 Kila mwezi ambapo inaweza kupunguza au kuongezeka kulingana na idadi ya watu ulioweza kuwahudumia katika eneo husika

FAIDA ZA BIASHARA AU UWEKEZAJI HUU
• Ni rahisi kusimamia hata kama ukawa mtumishi na umeamua kuweza kujiajiri Kwa kuongeza kipato na biashara hii kwakuwa tutakupa mifumo itakayo kuwezesha kusimamia biashara yako ukiwa kazini kwako

• Hakuna gharama kubwa kwenye uwanzishwaji wake ukilingamisha na biashara zingine mfano fremu ya biashara mtaji mkubwa kwakuwa huu mfumo unaweza kufungwa popote na hauchukui nafasi kubwa

• Hukupa Faida endelevu yenye uhakika kila mwezi kupitia usimamizi rahisi unaofanywa na mfumo wenyewe Kwa masaada wetu kwako

• Unaweza kufanya popote Tanzania inakopatikana network pekee mfano unaweza kuweka biashara hii Dar na ukaisimamua ukiwa mwanza au ukaweka kigoma na ukaisimamia ukiwa arusha

• Ni rahisi kuhamishika yaani unauwezo wa kuhamisha mfumo wako endapo ikitokea umefunga katika eneo ambalo unahisi alikupi Faida ya kutosha

Kifupi biashara hii inafaida nyingi ukilinganisha na biashara nyinginezo

Nakaribisha maswali Kwa wadau ili tuweze kueleweshana na Kwa wewe Mwenye mtaji karibu

NOTE ;
Kama unapatikana Dar es Salaam tunaweza kukufikia ulipo na kukuonyesha jinsi mfumo unavyofanya kazi au kukupeleka site ambako vifaa vinafanya kazi maelezo zaidi nimeambatanisha video zenye maelezo ya kina karibuni sanaa
 
Attachments

  • 20241018_135556~2.mp4
    36.6 MB
  • New Project [5053C1B].mp4
    58.1 MB
Swali la msingi:
Hiyo internet Yako wee unaitoa Kwa nani?

Nmeuliza hivi maana juz juz TU Arusha Watu wamedakwa wakiuza internet ya starlink nchini bila kibali Cha tcra,

Na wako cello Hadi Sasa.
 
Na wako cello Hadi Sasa
Mkuu sisi kama sisi hatuuzi internet bali Mteja anaweza kupata internet kutoka Kwa ISP yoyote nchini ila tunae mpigia chapuo ni Tigo na voda mana Mteja mwenyewe ndio atainunua Toka huko sisi tunakufungia na kukupa mfumo na kukuelekeza vifaa vya kununua pekee
 
Radial/distance coverage ya wifi? Nyie ni kampuni gani?
1 ) coverage itategemea na uhitaji wako na vifaa utakavyo tumia ila Kwa wengi tuliowafungia ni mita 200 kulingana na vifaa tulivyo waelekeza kununua

2 ) internet Mteja ataipata kutoka Kwa ISP yoyote ampendae hapa Tanzania sisi ni kukupa mfumo na kukufundisha namna ya kutumia

3 ) Ni sole proprietor Sio kampuni tunatoa consultation kwenye hii service lakini ni wanufaika wa comission utakapo nunua internet kutoka Kwa ISP yoyote utakaependekeza
 
Tuma kwa namba hii mna mbinu nyingi sana
Hebu soma kidogo maelezo Kisha google Kisha njoo Kisha naomba tukupe nafasi ya kukuonyesha kukutembeza sehemu huduma hii ilipo uweze kujionea usafiri nagharamia Kwa Dar au naweza kukufuata na kukuonyeshea demonstration mkuu
 
Habari wanajanvi

Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema.

Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo.

Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au biashara hii ambayo kitaalamu inafahamika kama Hotspot service provider

HOTSPOT SERVICE PROVIDER - ni
kampuni au mtu anayetoa huduma ya mtandao wa WiFi katika maeneo ya umma au kwa wateja wake. Watoa huduma hawa mara nyingi huweka vifaa vya WiFi katika maeneo kama vile migahawa, hoteli, viwanja vya ndege,Sokoni, stand za mabasi Migahawani, vyuoni na maeneo yenye mkusanyiko wa watu

Hii ni fursa mpya na adhimu sana hasa hapa kwetu Tanzania kwakuwa maeneo hayo au yenye mkusanyiko au kukutanisha watu ni nadra sana kupata huduma ya internet au WiFi na hata maeneo machache yaliyo na huduma hii yamekuwa hayakidhi mahitaji kwakuwa wengi Kwa kukosa uwelewa au Kwa makusudi hueka mifumo ambayo Haina UWEZO wa kukidhi au kuhudumia idadi kubwa ya watu mara nyingi Huwa ni watu 5 mpaka 10 pekee.

Kila mmoja anatambua umuhimu wa huduma ya internet changamoto ni gharama za kupata huduma hii. Kupitia fursa au biashara hii ya kusambaza internet Kwa njia ya wifi katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu italeta nafuu Kwa watumiaji wa internet katika maeneo hayo

MCHANGANUO WA FURSA HII / BIASHARA HII

Ili uweze kutoa huduma hii yakupasa kuwa na vifaa wezeshi ili kusaidia kufanikisha jambo hili Kwa bahati nzuri vifaa hivi vyote vinapatikana hapa ambapo bei ya vifaa pamoja na ufundi na elimu kwako mtoa huduma Ina gharimu kiasi Cha 1,500,000/= hapo unakuwa na system full ambayo itakuwezesha kutengeneza Faida endelevu na utajipatia GB 3,000 Kwa mwezi kwaajili ya kuwauzia wateja wako

Turudi shule kidogo ili tuweze kuona uwekezaji huu unawezaje kukupa Faida ewe ndugu mtumishi,mjasiriamali na hata jobless

Baada ya kuwa na mtaji wa 1,500,000 na kununua vifaa basi utajipatia na GB 3000 za internet kutoka Kwa Internet service provider ( ISP ) mfano Tigo au vodacom kwaajili ya kuanzia biashara ya kuuza GB za internet katika maeneo hayo, ambapo hizi GB 3000 = (200Mpbs ) utakuwa ukizipata Kwa kulipia 400,000 kila mwezi Kwa Tigo Kwa voda pia ni bei hii hii pia

Sasa tukija kwenye hisabati

NOTE ;
Tunasema Gb 3000 ni makadirio ila kwa Hawa ISP huita huduma hii fixed wireless access ( FWA ) Mtaani mnaiita UNLIMITED INTERNET japo kiuhalisia Sio Unlimited internet Huwa wanafanya data Caping ambayo inaweza kukupa limiting ya GB kadhaa mfano Tigo ni GB 3000 kwa mwezi na voda wanacheza hapo

Kama GB 3000 unazipata Kwa 400,000 Kwa mwezi inamaana wewe ndio utaangalia namna ya kuuza ili uweze kupata Faida kukurahisishia tu ni kuwa maeneo tuliofunga wengi huuza GB 2 Kwa 1,000
Hivo kuwafanya watengeneze 1,500,000 Kwa mwezi sasa ukitoa gharama za GB ambazo ni 400,000 Kwa mwezi hubaki 1,100,000 Kila mwezi ambapo inaweza kupunguza au kuongezeka kulingana na idadi ya watu ulioweza kuwahudumia katika eneo husika

FAIDA ZA BIASHARA AU UWEKEZAJI HUU
• Ni rahisi kusimamia hata kama ukawa mtumishi na umeamua kuweza kujiajiri Kwa kuongeza kipato na biashara hii kwakuwa tutakupa mifumo itakayo kuwezesha kusimamia biashara yako ukiwa kazini kwako

• Hakuna gharama kubwa kwenye uwanzishwaji wake ukilingamisha na biashara zingine mfano fremu ya biashara mtaji mkubwa kwakuwa huu mfumo unaweza kufungwa popote na hauchukui nafasi kubwa

• Hukupa Faida endelevu yenye uhakika kila mwezi kupitia usimamizi rahisi unaofanywa na mfumo wenyewe Kwa masaada wetu kwako

• Unaweza kufanya popote Tanzania inakopatikana network pekee mfano unaweza kuweka biashara hii Dar na ukaisimamua ukiwa mwanza au ukaweka kigoma na ukaisimamia ukiwa arusha

• Ni rahisi kuhamishika yaani unauwezo wa kuhamisha mfumo wako endapo ikitokea umefunga katika eneo ambalo unahisi alikupi Faida ya kutosha

Kifupi biashara hii inafaida nyingi ukilinganisha na biashara nyinginezo

Nakaribisha maswali Kwa wadau ili tuweze kueleweshana na Kwa wewe Mwenye mtaji karibu

NOTE ;
Kama unapatikana Dar es Salaam tunaweza kukufikia ulipo na kukuonyesha jinsi mfumo unavyofanya kazi au kukupeleka site ambako vifaa vinafanya kazi maelezo zaidi nimeambatanisha video zenye maelezo ya kina karibuni sanaa
Habari wanajanvi

Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema.

Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo.

Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au biashara hii ambayo kitaalamu inafahamika kama Hotspot service provider

HOTSPOT SERVICE PROVIDER - ni
kampuni au mtu anayetoa huduma ya mtandao wa WiFi katika maeneo ya umma au kwa wateja wake. Watoa huduma hawa mara nyingi huweka vifaa vya WiFi katika maeneo kama vile migahawa, hoteli, viwanja vya ndege,Sokoni, stand za mabasi Migahawani, vyuoni na maeneo yenye mkusanyiko wa watu

Hii ni fursa mpya na adhimu sana hasa hapa kwetu Tanzania kwakuwa maeneo hayo au yenye mkusanyiko au kukutanisha watu ni nadra sana kupata huduma ya internet au WiFi na hata maeneo machache yaliyo na huduma hii yamekuwa hayakidhi mahitaji kwakuwa wengi Kwa kukosa uwelewa au Kwa makusudi hueka mifumo ambayo Haina UWEZO wa kukidhi au kuhudumia idadi kubwa ya watu mara nyingi Huwa ni watu 5 mpaka 10 pekee.

Kila mmoja anatambua umuhimu wa huduma ya internet changamoto ni gharama za kupata huduma hii. Kupitia fursa au biashara hii ya kusambaza internet Kwa njia ya wifi katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu italeta nafuu Kwa watumiaji wa internet katika maeneo hayo

MCHANGANUO WA FURSA HII / BIASHARA HII

Ili uweze kutoa huduma hii yakupasa kuwa na vifaa wezeshi ili kusaidia kufanikisha jambo hili Kwa bahati nzuri vifaa hivi vyote vinapatikana hapa ambapo bei ya vifaa pamoja na ufundi na elimu kwako mtoa huduma Ina gharimu kiasi Cha 1,500,000/= hapo unakuwa na system full ambayo itakuwezesha kutengeneza Faida endelevu na utajipatia GB 3,000 Kwa mwezi kwaajili ya kuwauzia wateja wako

Turudi shule kidogo ili tuweze kuona uwekezaji huu unawezaje kukupa Faida ewe ndugu mtumishi,mjasiriamali na hata jobless

Baada ya kuwa na mtaji wa 1,500,000 na kununua vifaa basi utajipatia na GB 3000 za internet kutoka Kwa Internet service provider ( ISP ) mfano Tigo au vodacom kwaajili ya kuanzia biashara ya kuuza GB za internet katika maeneo hayo, ambapo hizi GB 3000 = (200Mpbs ) utakuwa ukizipata Kwa kulipia 400,000 kila mwezi Kwa Tigo Kwa voda pia ni bei hii hii pia

Sasa tukija kwenye hisabati

NOTE ;
Tunasema Gb 3000 ni makadirio ila kwa Hawa ISP huita huduma hii fixed wireless access ( FWA ) Mtaani mnaiita UNLIMITED INTERNET japo kiuhalisia Sio Unlimited internet Huwa wanafanya data Caping ambayo inaweza kukupa limiting ya GB kadhaa mfano Tigo ni GB 3000 kwa mwezi na voda wanacheza hapo

Kama GB 3000 unazipata Kwa 400,000 Kwa mwezi inamaana wewe ndio utaangalia namna ya kuuza ili uweze kupata Faida kukurahisishia tu ni kuwa maeneo tuliofunga wengi huuza GB 2 Kwa 1,000
Hivo kuwafanya watengeneze 1,500,000 Kwa mwezi sasa ukitoa gharama za GB ambazo ni 400,000 Kwa mwezi hubaki 1,100,000 Kila mwezi ambapo inaweza kupunguza au kuongezeka kulingana na idadi ya watu ulioweza kuwahudumia katika eneo husika

FAIDA ZA BIASHARA AU UWEKEZAJI HUU
• Ni rahisi kusimamia hata kama ukawa mtumishi na umeamua kuweza kujiajiri Kwa kuongeza kipato na biashara hii kwakuwa tutakupa mifumo itakayo kuwezesha kusimamia biashara yako ukiwa kazini kwako

• Hakuna gharama kubwa kwenye uwanzishwaji wake ukilingamisha na biashara zingine mfano fremu ya biashara mtaji mkubwa kwakuwa huu mfumo unaweza kufungwa popote na hauchukui nafasi kubwa

• Hukupa Faida endelevu yenye uhakika kila mwezi kupitia usimamizi rahisi unaofanywa na mfumo wenyewe Kwa masaada wetu kwako

• Unaweza kufanya popote Tanzania inakopatikana network pekee mfano unaweza kuweka biashara hii Dar na ukaisimamua ukiwa mwanza au ukaweka kigoma na ukaisimamia ukiwa arusha

• Ni rahisi kuhamishika yaani unauwezo wa kuhamisha mfumo wako endapo ikitokea umefunga katika eneo ambalo unahisi alikupi Faida ya kutosha

Kifupi biashara hii inafaida nyingi ukilinganisha na biashara nyinginezo

Nakaribisha maswali Kwa wadau ili tuweze kueleweshana na Kwa wewe Mwenye mtaji karibu

NOTE ;
Kama unapatikana Dar es Salaam tunaweza kukufikia ulipo na kukuonyesha jinsi mfumo unavyofanya kazi au kukupeleka site ambako vifaa vinafanya kazi maelezo zaidi nimeambatanisha video zenye maelezo ya kina karibuni sanaa
Mkuu, hata mimi huwa nina wazo hili lakini mimi huwa nafikiria hadi uwe na kitu kama cafe. Hebu nifafanulie tena juu ya hilo.
 
Sio lazima uwe na cafe yako unaweza kwenda sehemu za watu na ukaomba kuwaekea hiyo huduma mfano bar restaurant au Sokoni na hata stand Kuna maeneo ya namna hiyo tumeifunga hii huduma na unafanya kazi
 
Huu ni mfano wa vocha ambapo hapa nimeset ni GB 2 pekee hivo inaonyesha pia matumizi ya Mteja mpk kumalizika Kwa vocha yake

Screenshot_20241116-201110_Omada.jpg
 
20241129_205440.jpg

Hizi ni vocha zinaboonekana ukihitaji kuziprint na inatumika mara Moja kama vocha za kawaida
 
valid hours haiwezi kuongezwa! mfano mteja akataka hiyo GB 2 aitumie let's say siku 3 km ilivyo kifurushi
 
I love this, ngoja nimshawishi mtu, then tutakucheck boss
 
Back
Top Bottom