Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

Vipi kisheria haina shida?
Haina shida boss kwakuwa wewe unapenda kuwa HSP ( Hotspot service provider ) na Sio ISP ( Internet Service Provider) japo bidhaa au huduma ni ile ile ( internet ) na Kwa mujibu wa leseni zilizopo Kuna leseni ya kutoa huduma kuanzia ngazi ya wilaya sasa huduma hii haitoi internet hata ngazi ya mtaa ni sehemu Fulani pekee mfano stand Sokoni au kwenye hostel huwezi enda kuchukua kibali Cha kusambaza internet hostel au Sokoni mana hakuna kipengele hicho
 
Noted, nitakucheki hivi karibuni.
 
Naomb orodha ya vifaa vya kununua inataka unifungie huduma hiyo
Ukienda kununua utapigwa ndugu mdau ndio mana hili zoezi sisi tunakufanyia bure ila kununua Sio kufunga na kujua kuvitumia ila list ya vifaa ni hivi hapaaa 👇

➡️ Access point ( angalau 4 ) zenye kusapoti 2.4GHz na 5GHz
➡️ Internet Toka Kwa ISP
➡️ LAN cables
➡️ Extension cable
➡️ Powefull internet router
➡️ Controller software & hardware kwaajili ya kusimamia mfumo wako ( uwe unauelewa na ujuzi wa kutumia system/ data base

Hivi vifaa ndio unaweza kununua boss na kuanzia biashara
 
Coverage inachukua umbali gani(m2 au km2)
Mitaa 200, Hadi 500 ikifika kilometer haiwi tena HSP ( Hotspot service provider ) unakuwa ISP ( internet service providers ) na utapaswa kuwa na vibali labda uwe na bahati ufanye bila vibali
 
💥OFFER-OFFER-OFFER BAABKUBWA💥
💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 55,000 Tu! 💥
1️⃣ 25 NVMe SSD Storage
2️⃣ Free Website Migration/Transfer
3️⃣ Maximum Speed (Up to 3x)
4️⃣ Kama Unaitaji (Landing Page) au PHP Script yoyote, tuta-install Bure

⚡️ Usikose ofa hii ya kipekee!.
📞Tupigie: 0780 707 771

NetFasta
💨 Tumezingatia Speed Na Security:
✔️ NVMe SSD Storage
✔️ LiteSpeed Server
✔️ Unlimited Bandwidth
✔️ Imunify360 (Malware Detection and Removal)
✔️ Free SSL Certificates .
 
Ukienda kununua utapigwa ndugu mdau ndio mana hili zoezi sisi tunakufanyia bure ila kununua Sio kufunga na kujua kuvitumia ila list ya vifaa ni hivi hapaaa 👇

➡️ Access point ( angalau 4 ) zenye kusapoti 2.4GHz na 5GHz
➡️ Internet Toka Kwa ISP
➡️ LAN cables
➡️ Extension cable
➡️ Powefull internet router
➡️ Controller software & hardware kwaajili ya kusimamia mfumo wako ( uwe unauelewa na ujuzi wa kutumia system/ data base

Hivi vifaa ndio unaweza kununua boss na kuanzia biashara
Naomba namba yako mtaalam
 
Haina shida boss kwakuwa wewe unapenda kuwa HSP ( Hotspot service provider ) na Sio ISP ( Internet Service Provider) japo bidhaa au huduma ni ile ile ( internet ) na Kwa mujibu wa leseni zilizopo Kuna leseni ya kutoa huduma kuanzia ngazi ya wilaya sasa huduma hii haitoi internet hata ngazi ya mtaa ni sehemu Fulani pekee mfano stand Sokoni au kwenye hostel huwezi enda kuchukua kibali Cha kusambaza internet hostel au Sokoni mana hakuna kipengele hicho
Wiki ijayo nakuja Dar nitawacheck. Nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom