Messenger RNA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,411
- 3,712
Vipi kisheria haina shida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida boss kwakuwa wewe unapenda kuwa HSP ( Hotspot service provider ) na Sio ISP ( Internet Service Provider) japo bidhaa au huduma ni ile ile ( internet ) na Kwa mujibu wa leseni zilizopo Kuna leseni ya kutoa huduma kuanzia ngazi ya wilaya sasa huduma hii haitoi internet hata ngazi ya mtaa ni sehemu Fulani pekee mfano stand Sokoni au kwenye hostel huwezi enda kuchukua kibali Cha kusambaza internet hostel au Sokoni mana hakuna kipengele hichoVipi kisheria haina shida?
Noted, nitakucheki hivi karibuni.Haina shida boss kwakuwa wewe unapenda kuwa HSP ( Hotspot service provider ) na Sio ISP ( Internet Service Provider) japo bidhaa au huduma ni ile ile ( internet ) na Kwa mujibu wa leseni zilizopo Kuna leseni ya kutoa huduma kuanzia ngazi ya wilaya sasa huduma hii haitoi internet hata ngazi ya mtaa ni sehemu Fulani pekee mfano stand Sokoni au kwenye hostel huwezi enda kuchukua kibali Cha kusambaza internet hostel au Sokoni mana hakuna kipengele hicho
KaribuNoted, nitakucheki hivi karibuni.
Ukienda kununua utapigwa ndugu mdau ndio mana hili zoezi sisi tunakufanyia bure ila kununua Sio kufunga na kujua kuvitumia ila list ya vifaa ni hivi hapaaa 👇Naomb orodha ya vifaa vya kununua inataka unifungie huduma hiyo
Mitaa 200, Hadi 500 ikifika kilometer haiwi tena HSP ( Hotspot service provider ) unakuwa ISP ( internet service providers ) na utapaswa kuwa na vibali labda uwe na bahati ufanye bila vibaliCoverage inachukua umbali gani(m2 au km2)
Najitahidi Kwa UWEZO wangu Mwenye kutaka kuoelewa tutamueleweshaWape mchongo ndugu zako mkuu elfu 50 siyo fedha ndogo watakushukuru sana.
Naomba namba yako mtaalamUkienda kununua utapigwa ndugu mdau ndio mana hili zoezi sisi tunakufanyia bure ila kununua Sio kufunga na kujua kuvitumia ila list ya vifaa ni hivi hapaaa 👇
➡️ Access point ( angalau 4 ) zenye kusapoti 2.4GHz na 5GHz
➡️ Internet Toka Kwa ISP
➡️ LAN cables
➡️ Extension cable
➡️ Powefull internet router
➡️ Controller software & hardware kwaajili ya kusimamia mfumo wako ( uwe unauelewa na ujuzi wa kutumia system/ data base
Hivi vifaa ndio unaweza kununua boss na kuanzia biashara
0710186890Naomba namba yako mtaalam
0653101319Hello naomba namba tuongee
Sawa karibu mkuu tukupe scamScam
Wiki ijayo nakuja Dar nitawacheck. Nimeipenda hii.Haina shida boss kwakuwa wewe unapenda kuwa HSP ( Hotspot service provider ) na Sio ISP ( Internet Service Provider) japo bidhaa au huduma ni ile ile ( internet ) na Kwa mujibu wa leseni zilizopo Kuna leseni ya kutoa huduma kuanzia ngazi ya wilaya sasa huduma hii haitoi internet hata ngazi ya mtaa ni sehemu Fulani pekee mfano stand Sokoni au kwenye hostel huwezi enda kuchukua kibali Cha kusambaza internet hostel au Sokoni mana hakuna kipengele hicho
KARIBU MKUUWiki ijayo nakuja Dar nitawacheck. Nimeipenda hii.
Asante. TutawasilianaKARIBU MKUU