Tengeneza Mkono wa Mbele na Nyuma Gym Kwa Kufanya Hivi....

Mkuu, vipi mazoezi ya jogging, mi nafanya sana
Ukilinganisha na kuingia gym.
Zamani nimeshinda sana gym mwili nikaujenga lakini baada ya kuacha nimenywea, hayo mazoezi yamenikatisha tamaa, ukiacha tu unasinyaa
 
Mkuu, vipi mazoezi ya jogging, mi nafanya sana
Ukilinganisha na kuingia gym.
Zamani nimeshinda sana gym mwili nikaujenga lakini baada ya kuacha nimenywea, hayo mazoezi yamenikatisha tamaa, ukiacha tu unasinyaa
Watu wengi mwili hupotea kwakua hua wanahama kabisa kwenye reli ya mazoezi.

Ushauri wangu ni kua, usiache kula vyakula vinavyojenga na pia uendelee na aina fulani ya mazoezi au ingia gym kwa siku 3 tu lakini uwe unafanya extreme workout.
Nimeunda cocktail moja ya pushap ambayo iko vizuri sana bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts utakuta uzi unasema 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym' licheki hilo zoezi.
 
Vidonge hivyo vinapatikana kwa bei gani?
 
mkuu ukitaka kuongeza mikono tricep hivi kuna pushup zake au kuna mazoezi mengine?
 
mkuu ukitaka kuongeza mikono tricep hivi kuna pushup zake au kuna mazoezi mengine?
Samahani sana mkuu nimechelewa kupata notification.

Ndiyo triceps inaweza kufanyika kwa push ups na kuna mazoezi yake.

Kuna diamond push ups.


Kama utaanza kwa kama miguu ilivyo kwenye picha hapo juu, unaweza ukamalizia kwa magoti kugusa chini.

Kuna dips.


Gym hua wanaziita bench dips. Hizi ukiwa nyumbani unaweza kuzifanya kwa kuweka mikono kitandani na miguu ukaweka kwenye stuli au hata ndoo ukiigeuza juu chini

Kwa kawaida hata spartan push ups zinajenga triceps. Kama huzijui spartan push ups bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts kisha tazama uzi umeandikwa 'Jinsi ya kutengeneza mwili bila kuingia gym'
 
nashukuru mkuu
 
castr hivi hii ngao ya push up inasaidia kimazoezi?
Unamaanisha vile unavyoshikilia ukiwa unapiga push ups?


Kama hivyo?[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
 
Uzi umetulia.
 
Uzi umetulia na unaelewesha vzr sana. Vichwa Bashite kama nawaona hapo
 
Uzi umetulia na unaelewesha vzr sana. Vichwa Bashite kama nawaona hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…