OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Good
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwenye triceps hebu jaribu kupunguza mzigo halafu piga skullcrushers nyingi. Ni dawa pia huu mtindo.Castr Mkuu safi sana kwa uzi huu, mimi nilianza piga tizi ya mkono miezi miwili then nikaacha nimerudia tena mwezi huu wa nne. Triceps ni ngumu kwa upande wangu sema nakomaa hivo hivo, pia napiga chest na kukata tumbo plus zoezi la mguu. Natumai baada ya miezi kadhaa ntafika mahala. Sio kwamba nina kitambi hapana ila tu napenda kujenga mwili.
View attachment 495191
Breakfast ( sio mara zote dish hii)
Lunch
- Chai ya maziwa,
- Mkate wa brown nachanganya cheese
- Mayai 3 ya kuchemsha
- Peanut butter
Usiku
- Matunda, mboga za majani, kuna hii broccoli ipo safi sana
- Nyama ya ngombe
- naweza kunywa maziwa mtindi kikombe nikalala ingawa ilinisumbua sana mwanzoni, nimejaribu punguza sana carbohydrates. Kunywa maji ni muhimu sana.
Kamba ya kuruka usiitumie mara kwa mara labda kama unataka kupunguza mwili au kuukata ndiyo uitumie mara kwa mara.nondo tu ya vidole viwili,nina roller nina stendi ya push up kamba ya kuruka
Sawa mkuu Tupo pamojaEbwana nashukuru nimekutia hasira hadi umeamua kurudi, usiache kutupa somo na sisi wengine.
hivi mkuu castr kama unajenga triceps kupitia pushup je ukipiga diamond pushup na pushup fulani zimekaa kama zile za magufuli ila unapiga ziwe skullcrushes,je ukipiga zote mbili umix kachumbariTengeneza Mkono wa Nyuma Gym Kwa Mazoezi Yafuatayo
Au bonyeza username ya Castr nenda kwenye posts nilizozianzisha utakuta uzi unasema 'Tengeneza Mkono wa Nyuma Gym Kwa Mazoezi Yafuatayo'
Hizo kama za Magufuli mara nyingi huwa mikono hatuitanui, inakua kama umeibana mbavuni hapo ni triceps.hivi mkuu castr kama unajenga triceps kupitia pushup je ukipiga diamond pushup na pushup fulani zimekaa kama zile za magufuli ila unapiga ziwe skullcrushes,je ukipiga zote mbili umix kachumbari