Tengeneza pesa huku umelala HII BIASHARA IMEKAAJE? NANI ANAFANYA ANIJUZE?

Tengeneza pesa huku umelala HII BIASHARA IMEKAAJE? NANI ANAFANYA ANIJUZE?

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,646
kila kukicha binadamu anazidi kuvumbua mambo yatakayo mpunguzia makali ya maisha. katika pita pita yangu nimeona hii biashara nami nikaona niwajuze wenzagu katika jf wanaweza kutupa mwanga zaidi bofya hapohttp://www.themegawealth.net/products.php
 
the mega wealth ni binamu yake pyramid schemes
 
the mega wealth ni binamu yake pyramid schemes
kuna uhusino na mason? maana pyramid nasikia ndio wahusika wakuu wa freemason.
 
mkuu kama unataka kujiunga nikupe id yangu uingilie ni biashara nzuri ya online nimejiunga mkuu
 
mkuu kama unataka kujiunga nikupe id yangu uingilie ni biashara nzuri ya online nimejiunga mkuu
mkuu dr phone nakusudia kujiunga ila naona huku kwetu kupata watu hao 7 ni ishu maana tabu sio pesa ya kujiungia ila tabu ni namna ya kushawishi watu wasikuone tapeli.
 
nimeipenda hii thread, kwa wale ambao wako kwenye hii mega wealth hebu watujuze. Mimi kuna mtu ananishauri nijiunge lakini bado cjaridhika na detail anazonipa.
 
nimeipenda hii thread, kwa wale ambao wako kwenye hii mega wealth hebu watujuze. Mimi kuna mtu ananishauri nijiunge lakini bado cjaridhika na detail anazonipa.
mkuu ukipenda unagonga like,au thanks.
 
mkuu kama unataka kujiunga nikupe id yangu uingilie ni biashara nzuri ya online nimejiunga mkuu

ebu nieleweshe vizuri mkuu, bado sijawaelewa vizuri, nimeingia kwenye site yao lakini bado naona chenga.
 
ebu nieleweshe vizuri mkuu, bado sijawaelewa vizuri, nimeingia kwenye site yao lakini bado naona chenga.

ipo hivi unapotaka kujiunga unatoa kiingilio ambacho ni tsh 77500 hiyo ni moja. Mbili ni kutafuta/kushawishi watu 7 wajiunge.hapo kazi umemaliza.
 
huo ni utapeli naona..

mkuu hawa mega sio matapeli. Ni kweli kabisa.pia wanalipa papo kwa papo kupitia M-PESA inamaana hata voda wanaijua hii biashara
 
Hapa natumia simu.kama kuna mtu yupo ktk pc. Naomba acopy baadhi ya kurasa za mega kisha apaste hapa.lengo ni kujifunza.
 
Inaniuma sana.ninapo jiona mtz.nimekuwa kama mpira wa kona,kila mchezaji jicho lake lipo kwangu,nipigwe mateke huku na huko nikiingia tu wao wanashangilia bila huruma nikipasuka mimi wanachukua mpira mwingine.ili mechi isonge mbele.pia wamekuwa ma DJ wetu tz ipo katika ukumbi wa disco dj kila anapotuona tumechoka yeye ndo kwanza anaweka nyimbo mpya mala mgawo,mala loliondo mala deci mala mikataba feki mala..........!.hapo hapo kama mtu alikuwa amekaa utaona anainuka kucheza.mwisho wa siku dj anazima muziki na disco limekwisha!!
 
Kwa mawazo yangu hapa biashara ni kitabu. Kitabu kinauzwa ambacho baada ya kukisoma utajua umeliwa au la.
 
Back
Top Bottom