Jamani watanzania tupende kujifunza vitu,mie huwa nafanya network marketing.NTWK marketing ni biashara halali na inataka uelewa kama shughuli nyingine yoyote ili ufanikiwe na anayetakiwa kukupa huo uelewa ni yule anayekukaribisha kwenye mtandao kama ukikaribishwa na mtu ambaye kashindwa ni wazi hata wewe utashindwa manake huyo ndio anakuwa mentor wako mkubwa,kwa upande wangu naiona ni nzuri na ina mafanikio kama uko makini pia sio ngumu.Pia lazima kuwe na bidhaa zinazouzwa na ndio zinazoleta hizo faida wanazopewa wanachama.Nilichokiona kwenye Megawealth ni network marketing nyingine ambayo bidhaa zake ni vitabu,nafasi za matangazo nk.Naweza sema E-NTWK MARKETING.Tujifunze na kujaribu kupata uelewa wa mambo kwa uhalisi wake na si kutegemea fikra za walioshindwa na kukatishana tamaa,mtasema freemason,mara sijui nini wakati mnaona bidhaa za GNLD,FLP na hizo za Megawealth mwisho wa siku watkwambia na jirani zako freemason utakubali,na wazazi wako....lakini ukweli unaujua wewe.