Inaniuma sana.ninapo jiona mtz.nimekuwa kama mpira wa kona,kila mchezaji jicho lake lipo kwangu,nipigwe mateke huku na huko nikiingia tu wao wanashangilia bila huruma nikipasuka mimi wanachukua mpira mwingine.ili mechi isonge mbele.pia wamekuwa ma DJ wetu tz ipo katika ukumbi wa disco dj kila anapotuona tumechoka yeye ndo kwanza anaweka nyimbo mpya mala mgawo,mala loliondo mala deci mala mikataba feki mala..........!.hapo hapo kama mtu alikuwa amekaa utaona anainuka kucheza.mwisho wa siku dj anazima muziki na disco limekwisha!!