Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Sasa unataka niwaze nini Mzab? Uhuru wa Tanzania bara!?Akili zako ni kiwaza mgegedo tuu
Mwenye Id yake anasema eti jina lake halisi ni Thomas Baneni🤣🤣🤣Nilivyo kuwa naandika, nime cheka ka mwehu🤣😂🤒
we zombie Unique Flower MjingamumojaIntelligent businessman ni mshamba_hachekwi National Anthem na Unique Flower watamtoa sadaka Intelligent businessman sadaka🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Umenishinda bibiee.Sasa unataka niwaze nini Mzab? Uhuru wa Tanzania bara!?
Jamaa huwa ni mchekeshaji wa kenya, ana tembea barabarani😂🤣.Mwenye Id yake anasema eti jina lake halisi ni Thomas Baneni🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁 umepatia mia ya mia...
😅Hula nyama mbichi😜😂
Aisee shule zifunguliwe tu😂🤣🤣