Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
mzabzab ni mzee sana maini yamezeeka 😂😂🤣🤣🤣😎🤣🤣🤣🤣 Umenishinda bibiee.
Aya ubuninstyle mupya basi.
Yule boss mpe hi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzabzab ni mzee sana maini yamezeeka 😂😂🤣🤣🤣😎🤣🤣🤣🤣 Umenishinda bibiee.
Aya ubuninstyle mupya basi.
Yule boss mpe hi
Lol! Ok9 beautifulonyinye NifahWe mjinga una akiliiiiii 🤣🤣🤣
Ngoja hiyo nyingine siitengenezi leo b…
Jamani hebu nifundishe kutag aisee maana hii thread ni balaa 😂😂😂
Huyu anawaza nini nyie 😂fimboyaasali tamuuuuu .....na Mimi nimejaribu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Acheni mawazo mabaya nyie😃Huyu anawaza nini nyie 😂
Inafurahisha sana!!!😁😁😁Jamani hebu nifundishe kutag aisee maana hii thread ni balaa 😂😂😂
Unabonyeza alama ya @ bila kuacha nafasi, kisha unamtag mhusika.Jamani hebu nifundishe kutag aisee maana hii thread ni balaa 😂😂😂
Habari yako2 Binti 1 macho macho Nikupateje sinag Pesanyingi Kwetu TunduruJamani hebu nifundishe kutag aisee maana hii thread ni balaa 😂😂😂
Dr Restart Asante @kwa taarifa😍😂Unabonyeza alama ya @ bila kuacha nafasi, kisha unamtag mhusika.
Mfano @ Ms eyes.
Hapo sijatag kwa sababu nimeacha nafasi baada ya @.
Uzuri ni kuwa, ukiweka tu @ na herufi ya kwanza ya jina la mtu unayemtag, basi linakuja automatically