Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

Jamani hebu nifundishe kutag aisee maana hii thread ni balaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unabonyeza alama ya @ bila kuacha nafasi, kisha unamtag mhusika.

Mfano @ Ms eyes.
Hapo sijatag kwa sababu nimeacha nafasi baada ya @.

Uzuri ni kuwa, ukiweka tu @ na herufi ya kwanza ya jina la mtu unayemtag, basi linakuja automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…