sikupendi hatawewe MzeeHiyo kwa taarifa imekataa kwa sababu hakuna ID yenye hilo jina.
Sasa usiweke kwa taarifa, niandikie Dr Restart nakubusu. Itakubali.
Mwishoni wenye emoji za love, tutamuua fala mmoja humu.
mshamba_hachekwi
Huyo dogo nitampukutisha. .🤣🤣🤣🤣 imenibidi nicheke mkuu
Una bifu na mshamba_hachekwi ?
Tulia mkuu😂.Huyo dogo nitampukutisha. .
Atanijua tu mbwa huyo.
Naona haka kamchezo kamekunogea na umekawezaaa 🤣🤣