Pac-Man
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 465
- 739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una fujo hivyo
Ndio unifokee
[emoji23][emoji23][emoji23] naona una fujo sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Saa nne hii wateja hamna jua kali hadi nawaza usikute hizi shida zinasababishwa na kipind nasoma sikutunga sentensi kwa usahihi kama mwalim alivyotaka
Kuna nini tena humu!
[emoji23][emoji23][emoji23] njoo nikupe dawa ya biashara utachoka wewe kuhudumia
acha masihara mkuu, tuje kweli au
Mimi sina utani mkuu
nitakutafuta