Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

basi nieleweshe
Okays…
Mdakuzi ni mshkaji wangu wa maisha, muhuni flani hivi namkubali sana.
Niliyeachana nae ni mwingine, na nimeeleza vyema kupitia uzi rasmi nilioanzisha juu ya hilo.

Sio Mdakuzi abeg, huyu ni kiungo muhimu katika viungo vyangu.
Umeelewa sasa?
 
nimeelewa kidogo kwahiyo ulieachana nae ndio yupi?
 
Back
Top Bottom