Tengeneza tatizo, subiri lifukute, peleka suluhu wakuone mkombozi!

Tengeneza tatizo, subiri lifukute, peleka suluhu wakuone mkombozi!

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Hiki ndio ambacho kimefanyika leo huko Ngorongo!

Kwani alikuwa hana taarifa kuwa Wamasai wamepewa order ya kuhana? Kwani alikuwa hajui kuhusu wajomba zake wanaokuja kuwekeza? Alikuwa hajui kuhusu resistance iliyotokea huko wakitaka kuendelea kuishi katika ardhi hiyo waliyokuwa wakikaa toka enzi mpaka wengina kujeruhiwa na kuuliwa vibaya na polisi?

Halafu leo anakuja utafikiri ametoka nchi jirani eti huduma za jamii zirejeshwe, watapiga kura kama mipaka yao ilivyokuwa!

Ukiamua kufanya igizo si walau ujitoe kufanya igizo litakalotushawishi! Sasa mnafanya maigizo na mnaishia kuwa kama bongo movie - POOR!

Halafu ilie ndio ile lost generation eeeeh, ndio wakwanza kutuangusha, walau karejesha huduma, wakiletewa na kanga na kofia ndio kawamaliza mpaka nyonga.

Hapa kishingo alicheza kama pele....

1724425329987.png

Watanzania wanazidi kuamka, itafika mahala hawa 'wanyonge' watachoka kuchezewa shere. Wacha tuendelee kunywa supu.
 
Maendeleo gani ya kupeleka waarabu wakafirxne porini...hawa ndugu zetu wamasai wanafuga ng'ombe ili tupate nyama,maziwa,ngozi n.k ya kutosha mjini aisee..munakuja kuwaletea fedheha aisee
 
Back
Top Bottom