Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #61
Eti washauri wanamshauri vibaya!!!Mimi nina mtazamo tofauti kidogo,,, je bora watu wakae mda mrefu ktk nafasi zao hata kama wanapwaya au waondolewe wawekwe wengine?
Jibu lazima watolewe hilo liko wazi,,, shida ipo kwenye uteuzi,, inaelekea washauri bado hawamshauri raisi vizuri,,,madam President alishawi sema siku moja kuwa yeye huletewa majina na kuambiwa fulani anafaa basi yeye huidhinisha tu,, sasa inaelekea baadae anakuja kujionea mwenyewe ha! Huyu mbona sio kama vile nilivyoambiwa?
Chamsingi sasa madam President ahakikishe kila teuzi anayoifanya awe amejiridhisha nayo vya kutosha kabla ya kuwapa dhamana
Lame.