Nilikuwa nacheki Fina ya ATP tour ati ya Djokovic na nadal. Naona Djokovic anawazidi kuwakimbiza.
Kashinda kwa 6-4 6 - 4
Mambo ya enzi bwana, alishaacha tennis baada ya kuwa na knee problem nadhani.Nilkuwa namzimia sana yule kimwana wa Swiss Martina Hingis. Siku hizi yuko wapi?
Nilkuwa namzimia sana yule kimwana wa Swiss Martina Hingis. Siku hizi yuko wapi?