Tennis 2011

Tennis 2011

Match nzuri so far, lakini nataka Federer ashinde ili Rafa aendelee kuwa No.1....
 
nahisi hii mechi itaahirishwa..mwanga sio mzuri...Djokovich akirudi hii seti ya 4, nafikiri ndo itakuwa safari kwa Federer
 
Sweet shot there from Fed in game 7 of fourth set!
 
game imenoga kweli naona wanazungumzia kuhairisha
 
kama nilivyosema hapo juu, Federer asiposhinda hii seti, ajue ameaga mashindano hapo kesho..Djoko hawezi kumuacha..Fed ana support nzuri ya crowds
 
Nadhani hata Nadal anaomna feder ashinde
 
Ila nilipenda Djoko apite, kwa sababu ndo mwenye uwezo wa kumuenda Nadal..

Federer hadi aamke vizuri..kama ni kubet, fainali nampa Nadal
 
Kwanza pongezi zangu za dhati kwake Fed nilipenda ashinde leo mana alikuwa na game nzuri kweli ingawa djoko amepata mapumziko marefu sana ..This time fed ametulia ingawa kwenye clay court naona Nadal anatisha .
Djoko leo amekutana na kisiki haswa!!
 
_53234317_012137144-1.jpg

Fans of legendary Swiss right-hander Federer let their feelings be known as their man continues his bid for a second French Open title. He leads Djokovic 13-9 in the career head-to-head but trails 0-3 in 2011
_53234117_012136049-1.jpg

_53234160_012136482-1.jpg

A pocket of spectators show their appreciation for man-of-the-moment Djokovic, who will usurp Nadal as world number one if he reaches the final - regardless of the outcome of Sunday's showpiece
_53234210_012136547-1.jpg

..The Man himself who break the record and kumsimamisha Nole!
 
Back
Top Bottom