Leo kulikuwa na game nzuri kiasi ila zote zilikuwa za upande mmoja..Mtu mzima Federer kasonga kwa straight set win, nadal na dada yetu Serena nae kamsambaratisha mdada wakijeruman kwa straight sets.Djoko kidogo alitoa najasho na bagha datis ila mwisho wa siku mkubwa ni mkubwa tu .Kidogo kwenye last 16 kutakuwa na msisimko line up yake ni kama hivi
•Nadal v Del Potro
•Fish v Berdych
•Murray v Gasquet
•Kubot v Lopez
•Ferrer v Tsonga
•Youzhny v Federer
•Tomic v Malisse
•Llodra v Djokovic
Bolded kutamu hapo ila kwingine maseed watakuwa wanatafuna matango tu!!