Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Rafael Nadal wins the 2011 French Open.
Asante sana kwa updates jirani.....
Nimefurahi sana kwa ushindi huu wa Rafa....
Ushindi huu unanipunguzia machungu ya Taifa Stars kufungwa 2-1 na CAR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafael Nadal wins the 2011 French Open.
Watalaam wa mambo wanasema huenda ile set ya tatu nadal alifanya fair play kwa mtu mzima ila dah fed kwa nadal nikama chatu na mbwa!!Federer hamwezi Nadal mchangani. Japokuwa leo amejitahidi.
Watalaam wa mambo wanasema huenda ile set ya tatu nadal alifanya fair play kwa mtu mzima ila dah fed kwa nadal nikama chatu na mbwa!!
Kama Nadal akifanikiwa kuwa fit kwa misimu mitatu ijayo, anaweza kuipita record ya Fed kwenye Grand Slam.
Mtu mzima juzi kati alionesha uwezo wake mpaka Youzhny akapagawa kwa kichapo..utamu wenyewe upo leo ila naona kifo cha federer huenda kikawa kwenye semi-final akikutana na Djoko!..otherwise inapendeza maseed (top) wakikutana kwenye hatua hizi mana huwatuna shuhudia game nzuri..Nilipenda game ya nadal na Del kwenye set mbili za mwanzo ilikuwa a good tennis to watch..Federer anatolewa kamasi kashindwa set ya kwanza kwa tie break