Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
- Thread starter
- #141
Si mchezo game nzuri sana hii naona tukienda mpaka set ya tano itakuwa tamu zaidi nadal anatumia ngu
Dah nadal ni mchezaji anayetumia nguvu sana uliko wachezaji wengine kwenye game zake. Aisee
BTN
Kwa wale wenye net nzuri wanaweza kufatilia hapa live http://atdhenet.tv/
Federer hamwezi Nadal mchangani. Japokuwa leo amejitahidi.
Dah nadal ni mchezaji anayetumia nguvu sana uliko wachezaji wengine kwenye game zake. Aisee
BTN
Kwa wale wenye net nzuri wanaweza kufatilia hapa live http://atdhenet.tv/