Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Murray level yake bado nadhani fainali tamu itakuwa hiyo ya Nadal na Djokovic
hha hha hha! Matchpoint Nadal!...final inanukia Nadal Vs Djokovic....!
..Tsonga mpaka afungwe ndo anapata charge!... Djoko yupo fit sana msimu huu na kama sio Fed kumfanyia kitu mbaya kwenye French open angekuja kumnyanyasa Nadal kwenye Final..natumai hata kesho Djoko ataibuka mshindi ..Nadal amekuwa kama mbwa kwa chatu akimwona Djoko!!Kwa jinsi Djokovic alivyofanikiwa kumnyanyasa Nadal katika miezi ya karibuni, basi Nadal nadhani atajituma sana ili kusimamisha manyanyaso ya Djokovic. Nilitaka sana yule Tsonga ashinde leo lakini inaelekea hakuwa na pumzi kama aliyokuwa nayo katika quarter final match na Federer
Some more facts...Rafael Nadal will get to play one more match as the top-ranked man in the tennis world, and it will be in the Wimbledon final against the man who is going to replace him.
The defending champion reached his fifth final at the All England Club on Friday, beating Andy Murray 5-7, 6-2, 6-2, 6-4. But the win wasn't enough to hold onto his No. 1 ranking, which instead will go to Novak Djokovic for the first time on Monday.
Sunday's final will be between the Australian Open champion and the French Open titlist. Djokovic won the first Grand Slam tournament of the year as part of his 43-match winning streak, while 10-time major champion Nadal equaled Bjorn Borg's record of six titles at Roland Garros last month.
But before losing his first match of the year to Roger Federer in the French Open semifinals, Djokovic had beaten Nadal in two hard-court finals and two clay-court finals in 2011.
Some more facts...
SHOT of THE DAY
![]()
SNAP OF THE SEMIFINALS
![]()
Maelezo na habri za picha tembelea Tramlines: Murray the undisputed world number four - Yahoo! Eurosport UK
lakini hata Nadal akinshina Djoko (ingawa atatakiwa kufanya kazi kweli ) hawezi kuwa 1, Djoko ndo kisha kaa hapo,
....Dahhh, ndio kusema akimshinda Nadal kesho kwenye Grass court jumatatu atang'ara ranking world number 1!!!
well, kesho ndio kesho...i hope Nadal ashinde.
KVITOVA wins wimbledon ladies title, aaarrrghhhh...nilitamani Maria Sharapova ashinde.
Anyway, she's good!!!!
Haya haya wadau nani bingwa wa wimbledon Nadal au djokovic?