Sikuimaliza game yote sasa tusbiri Djokovic na Andy
I love Andy Murray...
I love Andy Murray...
Andy Murray is good but sihani kama anawaweza Djokovic na Nadal. Anyway may be mwaka huu katika glands salam Nne kubwa atapata moja.
Dakika si nyingi sijazo murrayanaingia wenye mchuano wa Nusu fainali na Djokovic. Unaweza kuiba hata muda wa ofisi na kuicheki mechi mja kwa moja kwenye michezo1ja X 1ja Chagua sehemu imeanikwa tennis djokovic na Andy Murray . Then chagua link yeyote ya english. ( usichague zile zinazohitaji kujisajili kwanza zinapoteza muda)
Hatimae mtu wangu fed anadondokea pua mbele ya washabiki lukuki wa Aussie open.Najua kama djoko atamsambaratisha huyu kipenzi cha waingereza basi Final ya j2 itakuwa haina utamu mana itakuwa ya upande mmoja.
Naona fed zama zinaanza kwisha na kasi ya vijana inamuacha..sio dalili yakuweza kubeba Grand slam yoyote kwa mwaka huu