Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Haya kwa wale wapenda tennis.
Msimu wa 2011 kijana djokoviv aliwapelekesha kiina Nadal na Federer. Federer Umri unaonekana umekwenda lakini bado yumo yumo
Msimu ndio Umeanza kwa AUSTRALIAN OPEN.
Nadal na federer wameanza vizuri kwa wa kushinda straight set
Kwa wanawake sijui kama Kia Williams wataweza kushinda viwaz vya wachezaji wapya kama mchina Li-na
Tuendelee