Tennis: US Open 2019

Tennis: US Open 2019

Real tears. Rafa is so genuine. Ndio maana tunampenda. Halafu mashabiki wa Federer ndo maana walikua wanamshangilia Medvedev hawataki Rafa afikishe 19, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] One more we are tied[emoji1491][emoji1491] 18 GS. Rafa is going to surpass Roger’s 19 GS record and will be the Greatest of all time! Vamos![emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491][emoji1491]
 
Naangalia match thanks espn kwa kuionyesha tena sasa naangalia nikiwa nimetulia sina pressure, [emoji6][emoji6][emoji2]
 
Kumbe kuna wadau wa tennis humu...
Nimefurahi nadal kubeba gland slam ya 19, hopefully ya 21 na kiendelea mwakani...
 
Kumbe kuna wadau wa tennis humu...
Nimefurahi nadal kubeba gland slam ya 19, hopefully ya 21 na kiendelea mwakani...

Tupo sana barafuyamoto tumemaliza salama, tunasubiri January hopefully Nadal atachukua tena, ingawa Australia huwa inampa shida sana katika GS zote.
 
Back
Top Bottom