Tenzi za Rohoni;Cha Kutumaini Sina, unawafaa Yanga michuano ya CAF

Tenzi za Rohoni;Cha Kutumaini Sina, unawafaa Yanga michuano ya CAF

Acha kufananisha michezo ya Kishetani na Mambo ya Utukufu wa Mungu Mkuu.
 
Hahahhaha unaijua tenzi inayoitwa nchi nzuri yameta meta?

Hii ndio inaelezea kwa ukaribu situation ya Yanga.

Nchi nzuri yameta meta..... huonekana kule mbali....

Naye yesu hutuongoza....tukafike nasisi huko...

Si mbaliiii, karibuu...tukafike na sisi hukoo.
 
IMG_20241231_164052_104.jpg
 
Yanga tunakujibu kama ifuatavyoooooo


Zaburi 35:26 Waaibishwe, wafedheheshwe pamoja, Wanaoifurahia hali yangu mbaya. Wavikwe aibu na fedheha, Wanaojikuza juu yangu.
 
Back
Top Bottom