Hata Mimi niliacha niliacha dini ya ukristo mwaka 1997 nikaamua kumfuata Yesu. Nimeona maisha ya ushindi sana katika Muda wote huu. Excel karibu nawe umfuate Yesu. Kwa Yesu Kuna Raha, Kuna furaha, Kuna amani tele. Dini yeyote haiwezi kumsaidia mtuJapo nimeachana na ukristo toka 2007 ila tenzi za rohoni zinafariji sana.
Nyimbo hizo hasa namba 2,3 and 11 are fuel on Fire..
Yesu anafuatwa wapi?Hata Mimi niliacha niliacha dini ya ukristo mwaka 1997 nikaamua kumfuata Yesu. Nimeona maisha ya ushindi sana katika Muda wote huu. Excel karibu nawe umfuate Yesu. Kwa Yesu Kuna Raha, Kuna furaha, Kuna amani tele. Dini yeyote haiwezi kumsaidia mtu
Kuokoka ikiwa na maana kumpokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wako...Yesu anafuatwa wapi?
Ahaa sawasawa.Kuokoka ikiwa na maana kumpokea YESU kuwa Bwana na mwokozi wako...
Huko ndio kumfuΓ ta YESU...
NB: Kwenda kwenye makanisa ya kilokole Kila siku sio kuokoka...
amenNikiimba naona uwepo wa YESU unanizunguka...
Napenda kuimba...
Soon nitaanza kupray and worship..
Kweli kabsa kuna kuachana na ukristo kama dini na kumfuata Kristo kama Bwana na Mwokozi wa Maisha yako ni vitu viwili tofauti ? Mfuate Yesu hautajutia uhamuzi wako kamweHata Mimi niliacha niliacha dini ya ukristo mwaka 1997 nikaamua kumfuata Yesu. Nimeona maisha ya ushindi sana katika Muda wote huu. Excel karibu nawe umfuate Yesu. Kwa Yesu Kuna Raha, Kuna furaha, Kuna amani tele. Dini yeyote haiwezi kumsaidia mtu