Tenzi za rohoni ni zile zinazo bubujika kutoka rohoni na mara nyingi huja pale unapo
atach na Spiritual Power na mara nyingi hutoka automatical
Nje ya hapo ni ngonjera isiyo kua na manufaa mfano
kuna Tenzi zinazoitwa za rohoni ila kiuhalisia zimejaa kuto kuamini mfano
hiyo Usinipite Mwokozi ni nzuri kuimba ila imejaa kutokuamini
kwa mtu uliye uliyezaliwa mara ya pili maana ukisema Mwokozi asikupite means
Yeye yupo mbali na hua anapita just ones na hapo hapo akikuona anaweza kukupita
Hiyo inaonesha namna gani Mungu ni corrupt na hajali wanawe hii kitu ni kufuru za wazi na kujaa mashaka na kutokuamini!
Vile vile nyimbo nyingi za wanaojiita waimbaji wa nyimbo za Injili ni total trash Zisizo na Manufaa yoyote
katika Ulimwengu wa roho na ni chache sana za praise & Worship zinazo atach automatical nyingine zimejaa kutokuamini na mashaka Tu,
kumbukeni
MUNGU ni mfalme na mwimbieni kwa akili na Roho Mtakatifu Ndio kiongozi wa yote nje ya hapo bila yeye kufanya vitu vyake Ni sawa na bure,
Ulimwengu wa Roho ni complex sana Ila ni unaeleweka kirahisi mno
kumbuka Hatupewi Tunachokitaka bali tunapewa tunachoamini
MUNGU ni ROHO na Imani ni kuchukua hatua ya kile unachokiamini
yupo ndani yako still unaimba Usinipite Mwokozi if yupo kuleeee
Matokeo yake unavuna unachokipanda kwa kukitamka mwenyewe kwa kumzuia asi take place kwako,
TUISHI TUKIWA WENYE MAMLAKA KAMILI SIO KAMA WAGENI NDANI YA UFALME WA MUNGU WAPENDWA
SHALOM!