nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kuna nyimbo nyingi za aina hii lakini huwezi zapata kwa tafsiri ya kiswahili wala kiingereza...Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.
Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.
Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.
Muwe na siku njema wana wa Mungu.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Zinapatikana kwa kijerumani na kichaga tu.
Kwa mfano.
Hoi mwana mwele chamecha
Lokuambya nekuidya
Ule na ofo olo wande
Ngechi wona sana a wona
Nangamba hii yaidaho
AU
luhende na sia luhende sahiya
Kimana kilya
Walisi walya walusongoya....
Ulalu ruwa a kunda wandu.....