Tenzi za rohoni

Tenzi za rohoni

Mimi ni mtoto mdogo tu, na nguvu sinayo nataka kwenda mbinguni na njia sijui., nitapotea kabisaa katika makosaa usiponisaidia eh mwokozi..,yesu...
 
Mimi ni mtoto mdogo tu, na nguvu sinayo nataka kwenda mbinguni na njia sijui., nitapotea kabisaa katika makosaa usiponisaidia eh mwokozi..,yesu...
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Mwenyezi Mungu awabariki wote walioshiriki kutunga nyimbo hizi za TENZI ZA ROHONI.

Hizi ni baadhi tu ya nyimbo hizo zinazogusa moyo (Heart touching songs)
1.Mungu ni Pendo
2.Usinipite Mwokozi
3.Salama Rohoni
4.Yesu unipendaye
5.Mwamba wenye imara
6.Nataka nimjue Yesu
7.Bwana u sehemu yangu
8.Ni tabibu
9.Kumtegemea Mwokozi
10.Kaa nami
11.Bwana Mungu nashangaa kabisa.

Wakati mwingi unatembea au uko busy na shughuli zako unajikuta unaimba tu peke yako, unahisi amani ya ajabu ndani ya moyo wako.

Muwe na siku njema wana wa Mungu.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ni ujumbe wa Bwana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom