Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uomgo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.

Wangekua na ushahidi usio na shaka kesi hukumu ingeishatoka kitambo sana. Kumbuka mtawala alishaitangazia dunia hukumu ya hii kesi.

Kwa ushahidi ule unaotolewa mahakamani unaona kuna kuthibitisha ugaidi pale?

Wakitaka wabadili mashtaka, yakibaki hivyohivyo ni ngumu sana kuthibitisha kesi ya ugaidi kwa sheria zilivyo.
 
Serekali imeshatoa mashahidi zaidi ya 10 na wala hakuna mwenye ushahidi wowote hadi sasa zaidi zaidi ya siasa za kitoto. Sana sana wale waliokuwa wanatumiwa na yule kiongozi muovu aliyeko motoni a.k.a jiwe, wa kundi la watu wasiojulikana ndio wanazidi kufahamika.
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uomgo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
 
Mgodi sawa ila itakua jambo la busara kutumia akili kuona athari iliyopo mbele yao wasipochukua hatua sahihi. Kuna madhara makubwa sana kwao na kwa serikali.
Inaonekana hivyo kwa serikali inayojali haki na demokrasia, lakini kwa wanaojua kupuuza, they don't care!

Kama waliweza kumpiga risasi Lissu kwenye maeneo yanayolindwa vikali, yakiwa na CCTV CAMERA, wala hawakujali itakuwa kwenye maneno ya ushahidi?
 
Mawakili wa Serikali waliomba muda Zaidi kuandaa Maelezo yao ya maandishi kwani Mh. Jaji mwenyewe alikuwa tayari kutoa uamuzi wake kesho. Baadhi ya waliowasikia
Haka katarifa kana ukakasi ........
 
Mawakili wa Serikali waliomba muda Zaidi kuandaa Maelezo yao ya maandishi kwani Mh. Jaji mwenyewe alikuwa tayari kutoa uamuzi wake kesho. Baadhi ya waliowasikia ...
Jana hiyo Mawakili wa Serikali walikuwa desparate sana wakiona kuwa wamepewa kesi ambayo imeanza kuwachafua katika jamii yetu. Walisikika wakimwomba Kiongozi wao Kidando aakutanishe kwa DPP kujadili hilo.[emoji23]
 
Mbowe aachiliwen arudi Dubai akaendelee na biashara zake za kitajiri

Issue za katiba mpya na kuwapiganua mang'ombe yasiyoweza hata kuandamana hata kama yameingiziwa mikunyange matakoni
Maneno ya mtu husema busara yake...
 
Hivi karibuni Mama atanawa " Si niliwaambia mkasema Mna ushahidi usio Shaka yako wapi? Mambo ya dhambi, dhuluma.."
Sunsiro atastaafu kwa aibu kubwa.
 
Back
Top Bottom