Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Ni wakati wa wanajeshi wote Tanzania kujua kuwa hujafa hujaumbika, siku yoyote wanaweza fukuzwa kazi hasa pale watakapoonekana hawana faida katika nchi. Wajitizame
 
Huko unafika mbali sana, unajua asili ina namna yake ya kutoa haki. Haiwezi kupindishwa.

Kuna watu walipiga ushindi wa kishindo, asili ikaamua kuwaonyesha kwamba binadam ana ukomo wake.
Nimekuelewa vyema
 
Ni muda muafaka kama serikali kuunda tume huru kuchunguza mienendo ya akina Kingai na wenzake haiwezekani watengeneze kesi mbaya hivi. Sasa hivi hakuna hata mmoja anayesema walikuwa na madawa ya kulevya. Huyu Kingai nawahakikishia kabla mola ajamuita atapitia mateso makubwa na magumu sana. Fuatilia idadi kubwa ya polisi wanaume wakistaafu wanakuwa na magonjwa ya ajabu sana. Huyu Kingai namuombea mabaya kila siku yeye na uzao wake.
 
Kuna aliyepoteza utulivu anayehangaika ?
Kama ni gaidi au sio gaidi mahakama itathibitsha

Tuwe watulivu tuu


Na Mungu ampe Lilian na watoto wake imani
 
Hiki ndicho Kikundi Cha Watu Wasiojulikana,
 
Na huku EU na Western power,wanaipu mmulia serikali yao shingoni(Breathing down their necks),
Lazima Lumumba na mazombie yao mavi yatagonga chupi.
 
Nasikia kuna mpango wa kumsafisha Hangaya kwa zile tuhuma zake na yuke Mwandishi wa BBC dhidi ya Mbowe kwa kuwatoa kafara hawa Maboya.
 
Heshima ya jeshi imepungua na itapungua kwa vijana wanataka kujiunga,hii itapelekea wale watakaoingia kuweza kuihujumu nchi
 
Is there human being who do not have brain?! Are you ass?
Do you know the meaning of the word doubt? I doubt again if you have brain in your skull! Read what you've written! You have shit in your skull instead of brain! Bloodfool!
 
Do you know the meaning of the word doubt? I doubt again if you have brain in your skull! Read what you've written! You have shit in your skull instead of brain! Bloodfool!
Don't argue with a fool, people might not notice the difference!!
 
Don't argue with a fool, people might not notice the difference!!
Already you're a fool before arguing! There's no difference before or after! You still be a great fool as you used to be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…