Terehe 14 Disemba, 2021, DPP atawasilisha Nolle kesi ya akina Mbowe?

Mbowe kawekwa ndani kimkakati !ili kuzuia ajenda ya katiba mpya ambayo ni mwiba kwa serikali na wanufaika wao!!!
 
Kama ni gaidi au sio gaidi mahakama itathibitsha

Tuwe watulivu tuu


Na Mungu ampe Lilian na watoto wake imani
Hakika. Hasa wakati tukisubiri ushahidi mzito usioacha shaka aliotuambia Siro kwamba jeshi lake linao.
 
Naiona hoja yako, kesi hiyo imetufumbua macho na kufundisha mengi sana kuhusu watawala na vyombo vya ulinzi na usalama
Lakini yote kwa yoye wabunge kama mia tatu na Polisi wasiozidi elfu 20 hawawezi kamwe kuishinda nguvu ya Umma. Hata Jeshi kama limewekwa mkononi itakuwa ni Mabeyo tu kwani askari wa chini wakigeuka wakubwa hawana mikono elefu moja moja ya kubeba bundkuki.
 
Nakuelewa sana mkuu. Ila kwa hii kesi wasipochukua tahadhari, wajiandae kwa kitu kizito. Mambo yameparanganyika sana. Wananchi wamehamaki, chuki ikiendelea namna hii hapatakua na utulivu.
Nakuelewa sana mkuu. Ila kwa hii kesi wasipochukua tahadhari, wajiandae kwa kitu kizito. Mambo yameparanganyika sana. Wananchi wamehamaki, chuki ikiendelea namna hii hapatakua na utulivu.
Ni kweli Christmas hii inaweza ikwa sio nzuri sana. Hamna mpenda haki yeyote anayefurahia Mbowe kuwa ndani kijanga vile! Hata mimi mwenyewe MwnaCCM!
 
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
Wana ushahidi wa makaratasi ya kufungia mandazi, Kuna kakundi la watu kama 30 ,kametuaribi, kametuchafulia Taifa
 
Kupata vichekesho vingine kama hivi waweza kubofya www.kujiliwaza@JF. tz
 
Mashahidi muhimu kina Kingai wanatoa ushahidi wa kula nyama choma na kunywa MO energy, eti huo ndo ugaidi!
 
Nyie endeleeni tu kuwapa matumaini ya uongo wafuasi wenu. Serikali wana ushahidi wa ugaidi. Ujanjaujanja wa kiwakili hauwezi kuepusha kesi kuendelea hadi hukumu.
Huo ushahidi upo matakoni kwako?Jinga sn we
 
Nimemuona maza yupo na Warioba/ Attorney General wa zamani huenda kweli kuna nolle inakuja......
ama kama sio nole kuna kifungo chenye ku attract fine kinakuja.......
am just gessing tule beer weekend ya kwanza December hii....
 
Hio kesi haiwezi futwa Katu ni hadi wamalizie maghorofa yao,unajua wanavuta ngapi kama posho waliopo kwenye chain ya kesi hio.Majaji wanavuta ndefu zaidi kuliko wote.
Kesi biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…