Kwani kaamua kupanda uzito ? CHARLO ana kazi kubwa kwa CANELO!!Next twin charlo
NO. 1 P4P KINGTerence simuamini kabisa..
Nahisi Spence Ile ajali imemuacha na matatizo kidogo...
Terence anaweza kupambana na Canelo??
Lakini Spence aliweza kuwapiga vizuri wakali wengine Danny Garcia na aliyekuwa champion 'Ugas' baada ya ajali, what do u think of that?Terence simuamini kabisa..
Nahisi Spence Ile ajali imemuacha na matatizo kidogo...
Terence anaweza kupambana na Canelo??
Unajua kumbe watu wengi Sana wanasema Spencer hakuwa sawa siku ile... wengine Hadi wanahisi alikuwa drugged... anyway labda kweli Terence ni mkali hatutaki Tu kukubali...Lakini Spence aliweza kuwapiga vizuri wakali wengine Danny Garcia na aliyekuwa champion 'Ugas' baada ya ajali, what do u think of that?